Wanauliza, tuwapige ngapi? HAKUNA kulala wala kuzubaa ndivyo ilivyo katika mechi za duru la pili za Ligi Kuu Bara wakati leo tena vita itaendelea kwenye viwanja viwili tofauti, huku kazi kubwa ikiwa jijini Dar es Salaam...
JKT vs Singida BS patachimbika Mej. Jen Isamuhyo REKODI ya JKT Tanzania kuwa timu pekee kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambayo haijapoteza mechi nyumbani itaendelea kudumu? Hilo ni swali wanalojiuliza wengi wakati Wanajeshi hao wa Kujenga Taifa...
PRIME Ukipigwa umekwisha mbio za ubingwa Ligi Kuu Bara MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu tano, lakini Simba na Yanga wakionekana na nafasi nzuri.
Chikola aibeba Tabora United ikiichapa Kagera BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho dhidi ya Kagera Sugar.
Aliyewazuia Dube, Mzize afichua siri, amtaja Chama YALE makali ya washambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na Prince Dube waliyoyaonyesha mechi saba zilizopita katika Ligi Kuu Bara, kipindi cha Kocha Sead Ramovic, yamezimwa leo Jumatatu na JKT...
Mambo matano dakika 90 za Hamdi Yanga KOCHA Miloud Hamdi, amezionja dakika 90 za kwanza akiwa benchi akiiongoza Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania.
Hamdi aongeza dozi Yanga, mastaa wakiona cha moto KATIKA kuhakikisha ile Gusa Achia Pro Max inafanya kazi ipasavyo, kocha mpya wa Yanga, Miloud Hamdi ameongeza dozi kwa mastaa wa timu hiyo.
PRIME Kumbe Diarra kamfunika hapa Camara KIKOSI cha Yanga jana jioni kilishuka uwanjani kuvaana na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini kipa namba moja wa kikosi hicho, Djigui Diarra alikuwa anaumiza kichwa kwa...
Hamdi abanwa jeshini, Yanga yaangusha pointi MBINU za makocha Ahmad Ally (JKT Tanzania) na Miloud Hamdi (Yanga) zimeonekana kutoshana nguvu katika dakika 45 za kwanza wakati timu hizo zilipopambana kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar.
Simba, Tanzania Prisons mechi ya mtego KOCHA Fadlu Davids kesho ana kazi ya kuiongoza Simba kurekebisha ilipokosea mechi iliyopita itakapoikaribisha Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex...