Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9644 results for Mwandishi :

  1. Guardiola afichua majanga yalimponza kwa Madrid

    TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, tuliona namna ambavyo Mwandishi Marti Perarnau aliendelea na mahojiano yake na Kocha Pep Guadiola na moja ya swali alilomuuliza ni iwapo...

  2. Wachezaji Bayern washindwa kutumia tiquitaca za Pep

    KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alianza kuelezea mipango ya Kocha Pep Guardiola katika mbio za Ligi ya Mabingwa akijiandaa kuivaa Arsenal...

  3. NYUMA YA PAZIA : Tatizo la Xhaka ni rula ya Vieira na Petit

    MWANDISHI wa Kiingereza aliyeitwa Will Sharp aliwahi kuandika. Alisema “Patrick Vieira na Emmanuel Petit wataendelea kuwa rula ya kupimia viungo wao wajao wa Arsenal”. Nadhani hakukosea sana.

  4. Messi vs Ronaldo : Ronaldo afunga kazi Euro2016

    TOLEO lililopita, mwandishi, Luca Caioli alizungumzia safu ya ushambuliaji wa Barca ya MSN yaani Messi, Suarez na Neymar ilivyobeba mataji matatu msimu wa 2014/15 na furaha ya Messi...

  5. Messi vs Ronaldo : Messi apitia kipindi kigumu

    TOLEO lililopita, Mwandishi, Luca Caioli alielezea namna ambavyo Ronaldo alikuwa na furaha baada ya kutwaa taji la Ulaya ‘Euro 2016’ akiwa na Timu ya Taifa ya Ureno na kueleza kuwa hayo...

  6. Messi vs Ronaldo : Messi apigwa madongo kila kona

    KATIKA toleo lililopita, Mwandishi, Luca Caioli alizungumzia hali ilivyokuwa baada ya Messi kushindwa kuisaidia Argentina kubeba Kombe la Dunia kule Brazil mwaka 2014 na hali ya unyonge...

  7. Messi vs Ronaldo : mambo magumu yamwandama Messi, familia yake Barcelona

    TOLEO lililopita, Mwandishi, Luca Caioli alichambua jinsi ubora wa Messi ulivyoonekana hadi harakati za kumsajil Barcelona kuanza kutokana na kiwango chake cha soka la kuvutia. Sasa endelea…

  8. Messi vs Ronaldo : Messi ajikatia tamaa, Maradona amkingia kifua

    TOLEO lililopita, mwandishi, Luca Caioli alizichambua shutuma alizokumbana nazo Messi baada ya Argentina kukwama kwenye fainali za Kombe la Dunia Brazil mwaka 2014 na Copa America 2015 huku...

  9. Messi vs Ronaldo : Kwa wafuasi Ronaldo hakamatiki Facebook,Twitter

    KATIKA toleo ililopita, mwandishi, Luca Caioli alichambua ugomvi uliojitokeza kati ya Ronaldo na kocha wake wa Real Madrid, Rafa Benitez na jinsi ambavyo Ronaldo hakufurahia kitendo cha...

  10. Bao la Ronaldo laitibulia Barca Nou Campa

    KATIKA toleo lililopita mwandishi Luca Caioli alizungumzia bao tamu la Ronaldo alilofunga nchini Ureno wakati huo akiichezea Man United iliyokuwa ikiumana na FC Porto, bao hilo lilimfanya...

Previous

Page 100 of 965

Next