PRIME Yanga yatibua dili la Fei Simba TANGU atambulishwe na Azam FC Juni 8, 2023, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu, nyota Feisal Salum almaarufu Feitoto, amekuwa akihusishwa na klabu mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Kisa Vinicius, Madrid yaanza kumwinda Nico Williams MABOSI wa Real Madrid wanaangalia uwezekano wa kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams dirisha lijalo la majira ya kiangazi kama mbadala wa Vinicius Jr...
PRIME Usajili mpya 2025 mjadala England MABOSI wa Ligi Kuu England wanajiandaa kufanya mazungumzo ya kubadili siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiangazi mwaka huu, imeelezwa.
PRIME Mashine ya mashuti inavyonoa mastaa mazoezini MAISHA yanakwenda kasi sana. Kwenye viwanja vya mazoezi ya mchezo wa soka teknolojia imeshika hatamu.
Liverpool itachangamka! Arne Slot kufunga busta LIVERPOOL imepanga kufungulia pochi dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi ili kumpatia Kocha Arne Slot kikosi kitakachokuwa na uwezo wa kutetea taji la Ligi Kuu England watakalolibeba...
Serengeti Boys yatua Morocco, hesabu Kombe la Dunia Katika Afcon U17, Serengeti Boys imepangwa katika kundi A na wenyeji Morocco, Zambia na Uganda.
Nusu fainali ya vigogo Ulaya, Ronaldo, Lamine na Mbappe UEFA Nations League baada ya kushinda michezo yao ya hatua ya robo fainali juzi.
MWENDO WA MABAO! Arteta akinasa bunduki hizi Arsenal inajipata kwenye ligi MAJERUHI yameilazimisha Arsenal kumchezesha kiungo Mikel Merino eneo la mshambuliaji wa kati, jambo lililomfanya Kocha Mikel Arteta kubebeshwa lawama za kushindwa kusajili straika dirisha la...
Ramires alivyoshtua watu kwa mwonekano wake KUNA huu msemo, eti unaanza kuzeeka kwanza kabla ya kuwa kijana.
Ishu ya Rashford kaishika Amorim LISEMWALO ni Marcus Rashford hatakuwa na maisha yoyote kwenye kikosi cha Manchester United endapo kama Kocha Ruben Amorim ataendelea kubaki kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.