Carrick awaonya mastaa kuhusu UEFA KOCHA wa mpito wa Manchester United, Michael Carrick amewaonya mapema mastaa wake wasitegemee nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu England inatosha kufuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Forest yajinasua kwenye hatari ya kushuka daraja EPL USHINDI wa mabao 5-0 ambao iliupata Nottingham Forest jana Ijumaa ikiwa ugenini dhidi ya Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu England, umeisaidia timu hiyo kuwa mbali na hatari ya kushuka daraja...
Everton wamalizana na kiungo Hayden EVERTON imemsajili kiungo Hayden Hackney kutoka Middlesbrough kwa ada ya angalau pauni16 milioni.
Mamelodi Sundowns mabingwa wapya CAFCL Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 na FAR Rabat nchini Morocco jana, Jumapili, Mei 24, 2026.
Taharuki! Sanamu za wachezaji zaporomoshwa Mexico MJI wa Mexico City upo kwenye taharuki baada ya kundi la walimu wanaogoma kufanya maandamano yaliyohusisha kuharibu na kuchoma moto sanamu za wachezaji wa mpira zilizokuwa sehemu ya maonyesho ya...
Tishio la Ebola laivurugia Taifa Stars Morocco Mechi mbili za kimataifa za kirafiki za timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Rwanda na Uganda zilizopangwa kuchezwa Juni 5 na Juni 9 mwaka huu zimefutwa.
Jordan Henderson hatihati England KIUNGO wa England, Jordan Henderson anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mkono, huku ushiriki wake uliosalia Kombe la Dunia ukitia shaka.
JKT Tanzania yaomba radhi, yampa pole Pacome Timu ya JKT Tanzania imeomba radhi na kumpa pole mchezaji wa Yanga, Pacome Zouzoua aliyeeshindwa kuendelea na mchezo wa Ligi Kuu baada yay a kufanyiwa rafu mbaya na mchwezaji Hasan Wahabi.
Argentina yajipa matumaini Kombe la Dunia 2026 VYOMBO vya habari nchini Argentina vinaamini nyota wa England, Jude Bellingham, huenda akawa na majeraha kabla ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina.