Mamluki waziponza Mwanza JIJI, Dodoma Shemisemita MASHINDANO ya 39 kwa Watumishi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa Tanzania (Shemisemita) yalihitimishwa juzi kwa timu ya soka ya Geita kuichapa Ifakara mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Nyamagana, huku...
Mpole, Okutu wapewa akili mpya Pamba Jiji MSHAMBULIAJI wa zamani wa Pamba, Stand United na Mbeya City, Abasirim Chidiebere raia wa Nigeria amesema mwanzo mgumu iliyoanza nao Pamba Jiji katika Ligi Kuu Bara ni kutokana na udhaifu wa eneo...
Geita Gold yaanza kujitafuta mapema KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Amani Josiah amesema anatambua baada ya usajili uliofanyika mashabiki wengi wamewawekea malengo makubwa, hivyo hataki kuwaangusha huku akiwaahidi watarajie ushindani...
Aliyeiua Namungo mzuka umepanda BAADA ya kucheza mechi ya kwanza Ligi Kuu Bara baada ya kukosekana kwa takribani mwaka mmoja na nusu, huku akifunga bao lililowapa Tabora United ushindi, beki wa kushoto Salum Chuku, amesema...
Kirumba bado kugumu kwa Pamba Mwanza. Pamba Jiji imeshindwa kufurukuta tena katika uwanja wake wa nyumbani wa CCM Kirumba jijini Mwanza baada ya kushindwa kuondoka na pointi tatu ikilazimishwa sare ya pili mfululizo katika...
Mpole hatihati kuivaa Dodoma Jiji KESHO Pamba Jiji itarusha karata yake ya pili Ligi Kuu itakapoikabili Dodoma Jiji katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, huku shauku ya mashabiki wa timu hiyo kumuona mshambuliaji wao...
Mkanwa amrithi Josiah Biashara Utd KLABU ya Biashara United ya Mara imeingia makubaliano ya msimu mmoja na Henry Mkanwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi ya Championship, huku akiwa na kibarua cha kuipandisha...
Siri ya usajili wa Bui, Simchimba Geita Gold BAADA ya kukamilisha kuunda benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Amani Josiah, klabu ya Geita Gold imehamishia nguvu kusuka kikosi cha msimu ujao na imeanza kushusha majembe mapya iliyosajili...
Minziro aibukia Mwadui FC BAADA ya kuachana na Kagera Sugar, Fredy Felix ‘Minziro’ ameibukia Mwadui FC inayojiandaa na Ligi ya Champpionship msimu huu, huku akipewa kibarua cha kuunda kikosi cha timu hiyo kitakacholeta...
Pamba Jiji yarudi Ligi Kuu na gundu PAMBA Jiji juzi Ijumaa ilicheza kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kupita miaka 23 tangu iliposhuka daraja mwaka 2001 na kuishia kutoka suluhu na Tanzania Prisons, lakini sare...