Biashara mambo yatiki, yapata ushindi wa kwanza nyumbani Biashara United ilikuwa imecheza mechi 14 za ligi ikishinda mmoja tu dhidi ya Tanzania Prisons ugenini kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga ikivuna alama 12 na kukamata nafasi...
JICHO LA MWEWE: Kichekesho mikataba ya Mwamnyeto na Onyango KWAMBA mabeki wawili mahiri wa Simba na Yanga, Joash Onyango na Bakari Mwamnyeto mikataba yao inakaribia ‘kukata roho’ mwishoni mwa msimu huu na haionekani kuwa habari kubwa sana kwa viongozi...
Mwameja afichua siri nzito Simba KATIKA sehemu zilizotangalia, kipa gwiji wa soka wa Simba na Taifa Stars, Mohammed Mwameja alizungumzia usajili wake Yanga ulivyokaribia kumtoa roho kabla ya dili hivyo kufa, ugomvi wake na...
Dube amekuja kuwashika! BAADA ya kusota kwa siku 273 bila kutikisa nyavu hatimaye mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube ametoa gundu kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaopigwa kesho kwenye Uwanja...
Nabi awatega mastaa Yanga YANGA ipo kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kuifuata Mtibwa Sugar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Manungu, lakini kocha Nesreddine Nabi amewashusha presha...
Mambo 10 wasiofahamu rafiki zako kuhusu Lady Jaydee kutunukiwa tuzo zaidi ya 35, ukijumlisha tuzo za Tanzania na zile za kimataifa ambapo ameshinda kwa miaka 15 mfululizo. 9. Rihanna ndiye msanii wa kike duniani ambaye anamvutia Jide kwa...
MASTORY YA OSCAR OSCAR: Umejiandaa kuwa Diamond Platinumz? Platinumz ana sifa zote za kuwa ‘rolimodo’ wa vijana wengi tu wa nchi hii. Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwake kikazi. Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake kwenye namna ya kutumia mitandao...
Simba, Yanga zilivyoiga utamaduni wa Ghana WAKATI naanza kuandika makala haya namkumbuka rafiki yangu kocha aliyewahi kufundisha timu kadhaa za taifa na klabu ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Kocha huyu aliwahi kuniambia ni...
MTU WA MPIRA: Shafii Dauda amefungiwa kwa kusema ukweli zinazodaiwa za uongo kuhusu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Unamfungiaje mtu kujihusisha na soka kwa miaka mitano kwa kosa la kuchapisha habari mtandaoni?. Wanachoshindwa kutambua wenye...
Mugalu: Kama si majeraha, wangenikoma STRAIKA wa Simba Chris Mugalu (32) ni miongoni mwa wachezaji wanaomaliza mikataba yao mwisho wa msimu huu ndani ya kikosi hicho huku kukiwa na mazungumzo ya kumwongezea mkataba mpya. Mugalu pia ni...