Mkude, Kanoute kuikosa Berkane Wakati wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye Mashindano ya Afrika Simba wakibakiza saa chache kushuka Uwanjani kupambana na wenyeji wao RS Berkane wekundu hao watawakosa viungo wao wawili...
Simba yapewa mchongo kuia Berkane SIMBA usiku wa leo inashuka uwanjani kuvaana na RS Berkane ya Morocco, huku mastaa wake wakipewa mchongo mzima wa kutoboa mbele ya wenyeji wao katika mechi hiyo ya Kundi D ya michuano ya Kombe la...
Shoo kama kawa, Kwa Mkapa anaumia mtu TUNAANZIA tulipoishia. Ndivyo wanavyosema mashabiki wa Yanga wakati chama lao leo usiku likitarajiwa kushuka tena uwanjani kuvaana na Kagera Sugar katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu Bara.
Simba yanyemelea rekodi Afrika Ushindi au sare dhidi ya RS Berkane huko Morocco leo utaifanya Simba kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutopoteza mechi tatu za mwanzo za hatua ya makundi ya klabu Afrika kwa...
ZeKICK: Msimu wa kibabe sana MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara umefikia tamati baada ya kila timu kukamilisha mechi zake 15, huku msimamo ukiweka dalili za mbio za farasi wawili.
Juma na rekodi ya kipekee Ligi Kuu LICHA ya kwamba timu yake ipo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, nyota wa Tanzania Prison, Jeremiah Juma ndiye mchezaji pekee aliyefunga mabao matatu kwenye mechi moja ‘Hat...
Prisons, City derby ya rekodi na visasi Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo katika uwanja wa Sokoine, Tanzania Prisons imesema kesho Jumapili haitarajii kurudia makosa kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya ndugu zao, Mbeya...
Berkane wana tiketi ya Simba Robo Fainali HATUA ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu itaendelea keshokutwa Jumapili ikiwa inaingia raundi ya tatu ambayo itafunga dimba la mzunguko wa kwanza wa hatua hiyo.
Coastal Union inapopitia kifo cha 'Kiswahili' HALI ya mambo ndani ya klabu ya Coastal Union inatia huruma jahazi linazidi kuzama kuna vurugu nyingi kuliko utulivu kila siku mpya kuna jipya linaibuka ambalo linasikitisha.
Yanga mechi nne tu freshi KIKOSI cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam jana kutoka Morogoro baada ya kumaliza mechi za duru la kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, tayari kwa michezo...