Sopu kambi popote TANZANIA ni miongoni mwa nchi iliyobarikiwa vipaji vingi vya wachezaji wa mpira wa miguu na katika hilo hutaacha kumtaja nyota wa Coastal Union, Abdul Suleiman ‘Sopu’ anayezidi kuonyesha...
MPAPASO WA MASAU BWIRE: Simba na Yanga sasa igeni kwa Ruvu Shooting Taifa Stars imeitwa kambini na kocha Kim Poulsen kujiandaa na mechi mbili za kirafiki dhidi ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini. Wote hao watapapaswa kwenye Uwanja wa Mkapa. Wachezaji 21 walioitwa...
Wasafi wakacha tuzo za muziki Tanzania, Harmonize yupo Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limeweka hadharani majina ya wasanii watakaowania tuzo za muziki ambapo wasanii kutoka lebo ya wasafi hawapo.
MDAMU: Ilibaki kidogo tu nijiue kwa kisu KWA sasa uso wa straika wa Polisi Tanzania, Gerald Mdamu umejaa na tabasamu nzito, kinywa chake kinashukuru Mungu, kutokana na hatua kubwa ya maendeleo ya miguu yake, tangu alipopata ajali...
Simba kuifanyia umafia ASEC Simba kesho watakuwa na kibarua dhidi ya ASEC Mimosas nchini Benin na wanahitaji ushindi au pointi ya aina yoyote ili waendelee kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali.
Yanga yajibu mapigo Simba WAKATI mashabiki wa Simba na hata viongozi wake wakiamini, Yanga wana mechi nne nzito zinazoweza kuwashusha kileleni, wenyewe wamejibu mapigo, kwa kocha wao, Nasreddine Nabi kucheka sana na kisha...
Msuva ampotezea Mayele MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva amempotezea kiaina straika wa Yanga, Fiston Mayele na kuwapigia debe George Mpole wa Geita na Reliants Lusajo wa Namungo kubeba tuzo ya...
Kwa mabao haya...acha Yanga waringe tu YANGA msimu huu kila sehemu ni tamu. Ukiachana na kuongoza Ligi Kuu Bara kwa pointi, umiliki wa mabao yao 29 una vionjo vya kusisimua kwa namna yalivyofungwa kwa staili tofauti.
Aah! Chama azingua KAMA unadhani mzimu wa kukosa penalti kwa Simba unaisumbua kwenye mechi za mashindano tu, pole yako kwani hata mazoezini tatizo hilo linaendela kuwatibua mastaa wa timu hiyo akiwamo Clatous Chama.
Rais Samia kuneeemesha wanamichezo RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wasanii na wanamichezo wana fursa kubwa ya kukua na Serikali imeendelea kuwapa nguvu kwa kuwatungia sera nzuri na sheria.