SIO ZENGWE: Tahadhari, 'ile kwa Mkapa hatoki mtu' hubadilika WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya klabu, Simba, watakamilisha mechi za raundi ya makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kuvaana na vigogo wa Niger, Union Sportive...
JICHO LA MWEWE: Eti rafiki yangu Morrison analilia timu ya Taifa Ghana na acheze mara kwa mara kabla ya kuwa mchezaji wao muhimu zaidi katika michuano hiyo ambayo ingefanyika nchini kwao. Nimekumbuka kuhusu Neymar baada ya majuzi kuendelea kumsoma Bernard Morrison...
Ngassa: Rekodi zipo ili zivunjwe matatu kumfikia Ngassa mwenye mabao 25 anayetajwa kuwa ndio mfungaji bora wa muda wote wa Stars. Samatta alifunga bao la ushindi kwenye pambano la kirafiki la kimataifa dhidi ya Afrika ya Kati...
Simba kubeba wengine CAF . Ndio, kama Simba itatinga robo fainali itaendelea kuipa neema Tanzania Bara kuwakilishwa na timu nne kama ilivyokuwa msimu huu, kwa maana mbili zitakipiga Ligi ya Mabingwa Afrika na...
Mganda afichua siri ya Diarra ngazi kwa ngazi. Kingine ni kujiamini na kujifunza kila siku kutokana na makosa, mfano kipa kama Diarra unamuona anavyojiamini sawa na Kigonya au Nahimana, wote wanajiamini sana na hiyo...
Bodaboda yamuwaisha Zuchu kusaini dili alilosotea miaka minne , Mbosso na kuwatambulisha Rich Mavoko na Queen Darleen, yeye alikuwepo hapo. 4. Mdundo wa wimbo ‘Cheche’ ulitengenezwa na Prodyuza Mocco Genius kwa ajili ya Diamond, Zuchu akauomba na kuurekodia.
MJUAJI: Mgogoro Yanga - Tambwe ataka mastaa wanne jipya la Kocha Tambwe Leya na mchezaji wake, Sunday Manara. Awali, Mwenyekiti wa Yanga, Mangara Tabu Mangara alitishia kugomea mchezo huo kutokana na timu yake kutopewa huduma za Baraza la Michezo...
MTU WA MPIRA: GSM, Mo Dewji ndio wakombozi wa soka letu TUNAISHI katika nyakati bora sana katika soka la Tanzania. Nyakati ambazo matajiri wameamua kukunjua nafsi na kuwekeza katika soka. Wanamwaga fedha kama mchanga. Walipita matajiri wengi...
CAF yaitega Simba, Pablo akuna kichwa HABARI ndio hiyo. Simba ina dakika 90 tu za kuamua hatma yake katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Jumapili ijayo itaikaribisha US Gendarmarie ya Niger katika pambano la kukamilisha...
Dili la Kotei Yanga lipo hivi.. afunguka kila kitu, amtaja Hersi na mke wangu aliniambia hauwezi kujua Mungu amekupangia nini, kwa hiyo nije Tanzania ni kama nyumbani inawezekana ikatokea safari nyingine nikiwa hapa.” Kotei anasema akiwa DTB msimu huu...