MTU WA MPIRA: GSM, Mo Dewji ndio wakombozi wa soka letu TUNAISHI katika nyakati bora sana katika soka la Tanzania. Nyakati ambazo matajiri wameamua kukunjua nafsi na kuwekeza katika soka. Wanamwaga fedha kama mchanga. Walipita matajiri wengi...
CAF yaitega Simba, Pablo akuna kichwa HABARI ndio hiyo. Simba ina dakika 90 tu za kuamua hatma yake katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Jumapili ijayo itaikaribisha US Gendarmarie ya Niger katika pambano la kukamilisha...
Dili la Kotei Yanga lipo hivi.. afunguka kila kitu, amtaja Hersi na mke wangu aliniambia hauwezi kujua Mungu amekupangia nini, kwa hiyo nije Tanzania ni kama nyumbani inawezekana ikatokea safari nyingine nikiwa hapa.” Kotei anasema akiwa DTB msimu huu...
Giniki atwaa dhahabu Poland, avunja rekodi Mwanariadha nyota wa Tanzania, Emmanuel Giniki Gisamoda ametwaa medali ya dhahabu na kuvunja rekodi nchini Poland. Giniki ametawazwa kuwa bingwa mpya wa mbio ya nusu marathoni ya Warsaw...
MPAPASO WA MASAU BWIRE: Hii Ruvu wala msiichukulie poa kwa jina la soda - ‘7up’, hata walipokwenda dukani kununua soda hiyo, hawakutamka jina la soda yenyewe, eti waliomba muuzaji awapatie Masau Bwire baridiiiiii, wakimaanisha soda hiyo ya 7up...
Mbuna: Pacha na SMG Yanga ilikuwa noma na nusu wanaomkosha kwa sasa ni Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (Simba),Y assin Mustapha, Bakari Mwamnyeto, Shomari Kibwana, Farid Mussa, Denis Nkane (Yanga) na Adam Adam (Polisi...
Kambi ya Kiduku yamjibu Mcongo kuhusu ubora wa Mwakinyo Saa chache baada ya Alex Kabangu kumtaja Hassan Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora nchini Tanzania, kambi ya bondia Twaha Kiduku imemjibu bondia huyo wa DR Congo ambaye siku wa kumkia leo...
Dakika 24 za kibabe kwa Kiduku, ashindwa kumaliza pambano raundi ya 7 mapema, akipewa sapoti na mamia ya mashabiki waliojitokeza ukumbini, huku akijiamini bondia huyo alipanda ulingoni saa 6:17 usiku na kusalimia mashabiki ambao walimshangilia kwa nguvu wengine...
Miujiza ya jezi ya Mayele, Simba hawaitaki watoa sababu akawa anavaa namba nane, lakini aliporejea Yanga SC alikuta namba 16 anavaa Nizar Khalfan, ambaye naye aligoma kuiachia. OMEGA SEMA - YANGA Ndiye aliyekuwa anaitumia jezi namba tisa baada ya...
Chama la Masau lazitaka tatu Polisi WAZEE wa Kupapasa, Ruvu Shooting imeendelea kujifua kwa maandalizi ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania ilitopangwa kupigwa Aprili Mosi huku kocha Mkuu wa wajeshi hao Boniface...