Majiha atetea taji WBC Afrika, Zugo akipigwa KO BONDIA namba moja nchini na bingwa wa WBC Afrika,Fadhili Majiha amefanikiwa kutetea mkanda wake wa ubingwa wa WBC Afrika kwa kumchapa kwa pointi Sabelo Ngebiyana wa Afrika Kusini huku Abeid...
Ubabe ubabe, hawana ugenini wala nyumbani UNAPOSIKIA neno ugenini kama nyumbani hiyo inamaanisha kwamba popote pale mechi ikipigwa ushindi unapatikana haijalishi uchache wa mashabiki wa upande wa mshindi wala wingi wake.
Majiha apima afya, kutetea ubingwa wa WBC Afrika BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Fadhili Majiha leo amekamilisha zoezi la kupima afya tayari kwa pambano lake la kutetea Mkanda wa Ubingwa wa WBC Afrika dhidi ya Sabelo Ngebinyana kutoka...
JESCA: Hivi ndivyo tulivyoumizwa Sauzi HUENDA bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Jesca Mfinanga hana hamu tena na Afrika Kusini kutokana na mikasa mikubwa aliyokutana nayo, ingawa hakutarajia kutokana na shauku kubwa aliyokuwa nayo...
Majiha katika nyakati za kudhihirisha umwamba wake JULAI 20, mwaka huu bondia namba moja nchini ‘Tanzania One’ Fadhili Majiha maarufu Kiepe Nyani atapanda ulingoni kutetea Mkanda wa ubingwa wa Baraza la Ngumi Duniani kwa Tawi la Afrika ‘WBC...
Mambo manne yaliyowakuta Jesca, Egina Afrika Kusini WIKIENDI iliyopita mabondia Jesca Mfinanga na Egine Kayange walikuwa na vibarua vya mapambano ya kimataifa nchini Afrika Kusini ambayo yalifanyika katika jiji la Johannesburg.
Jesca, Egine watimkia Afrika Kusini kuzichapa MABONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Jesca Mfinanga na Egine Kayange, wameondoka asubuhi ya leo kuelekea Afrika Kusini.
Zulfa Macho:Ngumi zilivyomgombanisha kiungo wa Yanga na mwanawe UKIONDOA Mkoa wa Morogoro katika soka kuwa na wachezaji wengi wenye majina makubwa hapa nchini basi itakuwa ngumu kama utashindwa kuutaja Mkoa wa Kigoma ambao umetoa wachezaji wa kutosha kwenye...
PRIME Chama alivyotibua dili la Farid Simba MISIMU mitatu ya kiraka, Farid Mussa ndani ya Yanga ameitaja kuwa ni ya mafanikio kwake baada ya kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu Bara, na mataji mawili ya ngao ya jamii huku akicheza hatua...
Promota pambano la Mwakinyo afungiwa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limemfungia promota Shomari Kimbau kujihusisha na shughuli za mchezo wa ngumi kwa kipindi cha miaka miwili.