Owino asajili beki wa kati Msimbazi BEKI wa Simba, Joseph Owino aliposajiliwa Simba mwaka jana alitaka viongozi wasajili beki mwingine wa kati ambaye ni raia wa kigeni kwasababu kwa wakati huo aliona Tanzania wapo wachache .
Straika wa Simba aiokoa Zanzibar >KIUNGO anayeozea kwenye benchi la Simba, Adeyun Saleh, ameipa Zanzibar Heroes ushindi muhimu kwenye mchezo wa kwanza wa timu hiyo wa Kombe la Chalenji uliochezwa jana Jumatano mchana mjini hapa.