Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

133 results for DK. SHITA SAMWEL :

  1. SPOTIDOKTA: Mwili mkakamavu unajengwa hivi

    KILA kijana wa kisasa anapenda kuvaa mavazi ya kisasa ambayo yanaendana vyema na mwili wake kwa lengo la kuwa na mwonekano nadhivu wenye kuvutia. Lakini mwili huo wenye kuendana na mavazi hayo...

    New Content Item (1)
  2. SPOTIDOKTA: Mashabiki wanakata moto uwanjani kwa sababu hizi

    KATIKA mchezo kwanza ya fainali ya kombe la shirikisho CAF uliochezwa Jumapili jijini DSM katika dimba la Mkapa klabu ya Yanga ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya US Alger ya...

  3. SPOTIDOKTA: Tatizo la mvutiko mkali wa misuli kwa wanasoka

    HIVI sasa Ligi mbalimbali duniani zinaelekea kwisha na huku pia baadhi ya timu ziko katika hatua za fainali katika mashindano mengine. Mfano kwa hapa Tanzania klabu ya Yanga iko katika fainali ya...

  4. SPOTIDOKTA: Uti mamu wa akili ndo kila kitu

    WIKI iliyopita tumeshuhudia Yanga ikitangazwa bingwa wa Ligi Kuu Bara ikiwa na mechi mbili mkononi baada ya kufikisha pointi 74 na huko Ulaya, Jumapili iliyopita Barcelona ya Hispania ilitangazwa...

  5. SPOTIDOKTA: Kai ya Vinicius Jr ni balaa

    Katika mchezo wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya UEFA kati ya Real Madrid na Manchester City uliochezwa usiku wa jumanne katika dimba la Madrid Santiago Bernabeu kasi ya winga wa kushoto...

  6. SPOTIDOKTA: Hisia inaweza kuathiri upigaji Penalti

    KUTOLEWA kwa Simba katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti Ijumaa iliyopita na Wydad Casablanca nchini Morocco lilikuwa pigo lililoleta simanzi hapa nchini. Penalti...

  7. SPOTI DOKTA: Athari za fataki, mabomu viwanjani

    KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Mkapa kati ya Simba na Whydad Athletic Club ya Morocco lilitokea tukio la uwashaji na ulipuaji fataki.

  8. Unajua faida za mazoezi kabla hujakimbia?

    ZOEZI la kukimbia mbio nyepesi kwa mwendo wa wastani kitaalam hujulikana kama Jogging, ni moja ya zoezi linaloainishwa kama zoezi jepesi kitabibu Aerobics exercise. Ni aina ya zoezi ambalo...

  9. Madhara ya kukimbia na raba za kubana

    Ni hatua nzuri kwa yule ambaye hivi sasa amekuwa na mwamko wa kufanya mazoezi ya kukimbia kidogo kidogo kwa kundi au binafsi katika maeneo ya wazi au yale ya pembezoni mwa barabara za...

  10. Mambo ya kuzingatia kabla kukimbia Jogging

    SIKU za karibuni kumekuwa na mwamko kwa wazee na vijana katika ufanyaji mazoezi mepesi ya kukimbia katika maeneo maalum au kando ya Barabara za huduma. Ukimbiaji mdogo mdogo hujulikana kama...

Previous

Page 9 of 14

Next