PRIME Fadlu katikati ya mtego wa Yanga, shughuli iko hapa DURU la pili la Ligi Kuu Bara linatarajiwa kurejea wikiendi hii kwa vigogo Simba na Yanga kula viporo walivyonavyo dhidi ya Tabora United na Kagera Sugar, huku kocha wa Wekundu wa Msimbazi, Fadlu...
Simba hii ya Fadlu, haiachi kitu SIMBA inaianza safari ya michuano ya Kombe la Shirikisho ikiwa nyumbani kuikaribisha Kilimanjaro Wonders, huku kocha msaidizi wa timu hiyo, Seleman Matola akisema hawatawadharau wapinzani wao hao...
Copco yatupwa nje kombe la FA, yabamizwa 5-0 YANGA leo ilikula kiporo cha mechi za Kombe la Shirikisho kiulaini baada ya kuifumua Copco ya Mwanza kwa mabao 5-0, huku nyota mpya wa kikosi hicho, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ akishindwa...
PRIME Dakika 630 za mtego Simba, Yanga BAADA ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuweka hadharani ratiba ya Ligi Kuu Bara inaonyesha mwezi ujao ambao ligi hiyo itarejea baada ya kusimama kwa muda, utakuwa na mechi nyingi zaidi. Katika...
PRIME Winga mpya Yanga kuanzia hapa KAMA ulikuwa na hamu kubwa ya kumuona winga mpya wa Yanga, Jonathan Ikangalombo akianza kuitumikia timu hiyo, taarifa njema ni kwamba siku si nyingi utamshuhudia akiliwakilisha chama lake hilo...
PRIME Simba na mtihani wa kumaliza kinara Kundi A NI kweli Simba itashuka uwanjani jioni hii bila mashabiki, lakini mastaa wa timu hiyo wameipiga mkwara CS Constantine ya Algeria leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, haichomoki kwani wanataka...
PRIME Tunaitaka robo fainali CAF HAKUNA namna ila ni ushindi tu ambao Yanga inahitaji leo katika mechi ya mwisho ya Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger.
PRIME Fadlu ashindwa kujizuia, afiachua siri Simba WAKATI Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiifungia Simba kucheza mechi moja ya nyumbani bila mashabiki huku likiipiga faini ya Dola 40,000, kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amefichua ukweli...
Zanzibar Heroes mabingwa Mapinduzi Cup 2025 TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1.
PRIME JUDGEMENT DAY: Simba vs Bravos, Yanga vs Al Hilal utamu uko hapa HAKUNA namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini.