Masharti mazito Simba… ulevi, fujo, jezi za Yanga marufuku SIMBA ilipaa jana jioni kwenda Misri kujiandaa na msimu mpya wa 2024-2025 lakini siku moja kabla ya safari hiyo, wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi wakabebeshwa zigo na tajiri wa klabu...
Kaseba, Mandonga kuzipiga Mikoani BINGWA wa zamani wa Kick Boxing wa Dunia, aliwahi pia kutamba kwenye Ngumi za Kulipwa nchini, Japhet Kaseba sambamba na Karim Mandonga ni miongoni mwa mabondi watakaozipiga katika mapambano...
Yusuf Manji afariki dunia TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia usiku wa jana huko Florida, Marekani.
Sababu saba mtifuano wa Simba, Coastal Simba wakaingia mtandaoni na kumtambulisha mchezaji kama ni wa kwao Coastal Union wakabisha, bonge moja la sinema.
JKU kupewa ndoo ya ubingwa kecho New Amaan Complex MAAFANDE wa JKU imemaliza ubishi kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kutoka sare ya 1-1 na Kipanga, na kesho jumapili itakabidhiwa taji hilo katika sherehe zitakazoenda sambamba...
JKU yabeba ubingwa Ligi Kuu ya Zanzibar MAAFANDE wa JKU imemaliza ubishi kwa kutwaa taji la Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), jana Ijumaa baada ya kutoka sare ya 1-1 na Kipanga, huku Zimamoto ikicharazwa mabao 2-0 na New City wakati ligi hiyo...
Zenji ni JKU au Zimamoto ligi ikifikia tamati LIGI Kuu Zanzibar kwa msimu wa 2023-2024 inafikia tamati jioni ya leo wakati zitakapopigwa mechi saba za kukamilisha raundi ya 30, ambapo bingwa mpya wa ligi hiyo anatarajiwa kufahamika rasmi...
PRIME Gamondi aibua shangwe lingine Yanga KILICHOFANYWA na Yanga jana katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo ni kama imewatangazia wapinzani kuwa, ile tabu waliyokutana nayo msimu wa 2023-2024 wasidhani imesha badala yaje wajue mapema bado...
Charlie Chaplin: Anaendelea kuishi kwa uchale wake MASHAMBULIZI ya Palestina yanayofanywa na Israel yaliyoua mamia ya watu, huku zaidi ya milioni 2, wakikosa makazibaada ya nyumba zao kuharibiwa, yamewakumbusha watu wa Ulaya na Marekani...
PRIME RIPOTI MAALUMU: Hali ya viwanja kabla na baada ya AFCON -3 VIWANJA ni miongoni mwa mahitaji makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) katika kutoa haki za uenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika (Afcon).