Utabiri Argentina, Ufaransa fainali, England mmh! KOMPYUTA maalumu ya kutabiri matokeo ya mashindano (supercomputer) imetabiri kuwa Argentina na Ufaransa zitakutana tena kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2026, kama ilivyokuwa mwaka 2022.
Kikosi bora hatua ya makundi, Halaand, Dembele nje BAADA ya michezo 72 kuchezwa, sasa tunafahamu rasmi timu 32 zilizofuzu hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia 2026.
Uruguay kimeumana huko WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Uruguay wamepata pigo jingine baada Shirikisho la Soka la Uruguay (AUF) kuchukua uamuzi kuvunja kambi na kila mtu kutakiwa kujigharamia mwenyewe safari ya...
VAR yainyima bao DR Congo VAR kwa mara nyingine imeendelea kuzionea timu za Afrika baada ya Ghana sasa ni DR Congo walinyimwa bao la kuvutia dhidi ya Uzbekistan, uamuzi ambao uliibua hasira kubwa kutoka kwa mashabiki na...
Kombe la Dunia 2026 tunaanza upyaaaa NDIYO. Kama alivyosema mshambuliaji wa England, Harry Kane na Kocha wake, Thomas Tuchel, Kombe la Dunia linafanana na mashindano mawili. Ya kwanza yameisha na sasa yanaingia ya pili, hatua ya 32...
Chelsea yamgeukia Granit Xhaka Chelsea imeanza mipango ya kutaka kufanya usajili wa kushangaza kwa kumleta kiungo Granit Xhaka kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
England yafuzu 32 bora Kombe la Dunia ikiacha maswali VIJANA wa Thomas Tuchel, England wamekamilisha kazi ya kwanza baada ya kumaliza vinara wa Kundi L na kufuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026, lakini kiwango walichoonyesha dhidi ya Panama...
Colombia kuivaa Ghana, Ureno wakutane na Croatia 32 Bora TIMU ya taifa ya Colombia imehitimisha hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 ikiwa kileleni mwa Kundi K baada ya kutoka suluhu dhidi ya Ureno katika mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo...
Gakpo apata pigo kambini Uholanzi ikiisubiri Morocco 32 Bora Mshambuliaji wa Liverpool, Cody Gakpo, amepata pigo akiwa kambini na kikosi cha Uholanzi baada ya kupokea taarifa za mtoto wake wa kiume aliyetarajiwa kuzaliwa Oktoba mwaka huu, kufia tumboni.
Dembele anavyoisaka tena Ballon d’Or kimyakimya JUZI, ulimwengu wa soka ulishuhudia shangwe la hat-trick ya Ousmane Dembele dhidi ya Norway ambayo inaonyesha kwa nini Ufaransa ni miongoni mwa wapinzani bora wa Kombe la Dunia 2026.