Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1039 results for Saddam Sadick :

  1. Kibarua cha Josiah Tanzania Prisons

    PAMOJA na heshima aliyopata kutoka Championship hadi Ligi Kuu, kocha mpya wa Tanzania Prisons, Aman Josiah anakabiliwa na mtihani mzito kutoboa.

    Josiah Pict
  2. Kocha KenGold amshtukia Morisson, Yondani naye ndani

    Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia wa Ghana.

    New Content Item (1)
  3. Chalamanda na hesabu kali Mapinduzi Cup akiiwazia Kagera

    KIPA wa Kagera Sugar ambaye amejumuishwa kwenye kikosi cha Kilimanjaro Stars kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, Ramadhan Chalamanda amesema ataitumia kama daraja kujihakikishia namba...

    Chalamanda Pict
  4. PRIME Ken Gold: Morrison? Nyie subirini tu

    WAKATI KenGold ikiendelea kuimarisha kikosi, macho na masikio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini Mbeya ni kuona staa kutoka Ghana, Bernard Morison akitua kwa wachimbaji hao wa madini.

    KenGold Pict
  5. Prisons yailiza Pamba Jiji Sokoine

    Baada ya kupoteza mechi iliyopita kwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga, Tanzania Prisons imemalizia hasira zao kwa Pamba Jiji kufuatia ushindi wa bao 1-0.

  6. Soka la Mbeya lawashtua wadau, wakuna vichwa

    MWENENDO wa soka la Mbeya kwa miaka ya karibuni imeonekana kuwashtua wadau na mashabiki mkoani humo, huku wengine wakitahadharisha yasitokee ya jijini Tanga, Mwanza na Arusha.

    Mbeya Pict
  7. Makata atupwa nje, Mtupa kuiongoza Prisons dhidi ya Yanga

    Licha ya uongozi kutothibitisha moja kwa moja, lakini habari za uhakika ni kuwa Tanzania Prisons imemtema aliyekuwa kocha mku wa kikosi hicho, Mbwana Makata na msaidizi wake, Renatus Shija.

  8. Mwanjala alia na soka la Mbeya, atoa matumaini kwa Yanga na Simba Caf

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa), Elias Mwanjala, ameonyesha kusikitishwa na timu alizoziacha kwenye ramani za mpira kupotea na zilizopo kuchechemea.

  9. Singida BS yaiacha hoi Prisons ikizishusha Simba na Yanga

    Mabao mawili ya Marouf Tchakei dakika ya 47 na Kennedy Juma dakika ya 58, yametosha kuipa pointi tatu Singida Black Stars ikiizima Tanzania Prisons na kuchumpa nafasi ya pili katika msimamo wa...

  10. Kipa Namungo afikiria kutimka, uongozi kiroho safi

    Kipa wa Namungo raia wa DR Congo, Erick Molong amesema hafurahishwi na maisha anayoishi kikosini humo akieleza kuwa msimamo wake ni kuachana na timu hiyo ili kutafuta changamoto mpya sehemu...

Previous

Page 7 of 104

Next