KenGold yachafua hali ya hewa! watajwa Miquisone, Lwanga KWA wanachoendelea kufanya KenGold kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ni kama ‘kuchafua hali ya hewa’.
Ndunguru: Gusa achia, itaiua Mazembe mapema tu! KIKOSI cha Yanga leo kimemalizia kupiga tizi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kabla ya keshokutwa kurejea kambini Avic Town kujiandaa na pambano la Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP...
Kibarua cha Josiah Tanzania Prisons PAMOJA na heshima aliyopata kutoka Championship hadi Ligi Kuu, kocha mpya wa Tanzania Prisons, Aman Josiah anakabiliwa na mtihani mzito kutoboa.
Kocha KenGold amshtukia Morisson, Yondani naye ndani Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia wa Ghana.
Chalamanda na hesabu kali Mapinduzi Cup akiiwazia Kagera KIPA wa Kagera Sugar ambaye amejumuishwa kwenye kikosi cha Kilimanjaro Stars kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, Ramadhan Chalamanda amesema ataitumia kama daraja kujihakikishia namba...
PRIME Ken Gold: Morrison? Nyie subirini tu WAKATI KenGold ikiendelea kuimarisha kikosi, macho na masikio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini Mbeya ni kuona staa kutoka Ghana, Bernard Morison akitua kwa wachimbaji hao wa madini.
Prisons yailiza Pamba Jiji Sokoine Baada ya kupoteza mechi iliyopita kwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga, Tanzania Prisons imemalizia hasira zao kwa Pamba Jiji kufuatia ushindi wa bao 1-0.
Soka la Mbeya lawashtua wadau, wakuna vichwa MWENENDO wa soka la Mbeya kwa miaka ya karibuni imeonekana kuwashtua wadau na mashabiki mkoani humo, huku wengine wakitahadharisha yasitokee ya jijini Tanga, Mwanza na Arusha.
Makata atupwa nje, Mtupa kuiongoza Prisons dhidi ya Yanga Licha ya uongozi kutothibitisha moja kwa moja, lakini habari za uhakika ni kuwa Tanzania Prisons imemtema aliyekuwa kocha mku wa kikosi hicho, Mbwana Makata na msaidizi wake, Renatus Shija.
Mwanjala alia na soka la Mbeya, atoa matumaini kwa Yanga na Simba Caf Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa), Elias Mwanjala, ameonyesha kusikitishwa na timu alizoziacha kwenye ramani za mpira kupotea na zilizopo kuchechemea.