Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Kigi Makasi achimba mkwara Championship

    KIGI Makasi, nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mtibwa Sugar aliyetua Stand United ‘Chama la Wana’ amesema wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo wamekula kiapo cha kushinda mechi za...

  2. Basigi: Mwendo ni huu hadi ubingwa

    BAADA ya kuhitimisha duru la kwanza Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) ikiwa kileleni bila kupoteza mchezo, kocha mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema hawatabweteka na matokeo hayo kwani anakwenda...

    New Content Item (1)
  3. 5G yamliza Sultan, asaka beki fasta

    BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi ya timu hiyo na fasta kuamua kutafuta beki wa kati...

    New Content Item (1)
  4. Ceassia wanaitaka nne bora WPL

    UONGOZI wa Klabu ya Ceassia Queens kutoka Iringa, umempa kibarua cha kuhakikisha anamaliza katika nafasi nne za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kocha mpya wa timu hiyo...

    Ceacea Pict
  5. Kocha Alliance apiga mkwara

    BAADA ya kuanza vyema kibarua chake ndani ya Alliance Girls kwa kushinda mechi mbili za Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Sultan Juma amesema mechi mbili zijazo dhidi...

    Alliance Pict
  6. Henry Joseph hana presha Moro Kids

    LICHA ya kuanza kwa kusuasua katika First League, nyota wa zamani wa Simba na Mtibwa Sugar, Henry Joseph Shindika amesema hana hofu yoyote kwani anajua mwisho wa msimu ataifikisha Moro Kids...

    Henry Pict
  7. Bosi mpya Geita ataja vipaumbele

    SIKU chache baada ya kuapishwa kuendelea kuiongoza Chama cha Soka cha Geita kwa muhula mwingine kama Mwenyekiti, Salum Kulunge ameanika vipaumbele 10 vya kufanyia kazi huku namba moja ikiwa ni...

    Geita Pict
  8. Mastraika Pamba ni suala la muda tu

    CHANGAMOTO ya ufungaji Pamba Jiji huenda sasa ikapata mwarobaini baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ kuahidi ujio wa baadhi ya nyota wazoefu na mipango anayoendelea kusuka...

    Pamba Pict
  9. Yusuph Mhilu bado aiota Ligi Kuu

    WINGA wa zamani wa Simba anayekipiga kwa sasa Geita Gold iliyopo Ligi ya Championship, Yusuph Mhilu amesema bado anatamani kucheza Ligi Kuu Bara na anafanya kila kitu kuhakikisha anaboresha...

    Mhilu Pict
  10. Chikola: Miamala ilisoma kisa Yanga

    Katika Ligi Kuu Bara msimu huu mpaka sasa huenda ushindi wa mabao 3-1 wa Tabora United mbele ya Yanga katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam ndiyo matokeo ya soka ambayo yamezungumzwa...

Previous

Page 6 of 71

Next