Simba wasoma albadiri WAKATI taharuki ikiwa bado imetawala nchi nzima kutokana na kutoweka kwa bilionea na mwanachama mashuhuri wa Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji aliyetekwa na watu wasiojulikana alfajiri ya juzi Alhamis...
Yanga yamtaka Rasta wa Simba Yanga imejitosa kuisaka saini ya kiungo wa Madini, Awesu Awesu 'Rasta' anayewani na Simba pia.
Yanga yaitosa Arusha Mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Yanga imeshindwa kutimiza ahadi yake ya kucheza mechi ya kirafiki Mkoani Arusha.