Mbappe amewaangamiza wenzake wa utotoni UFARANSA imekata tiketi ya kutinga nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Morocco mabao 2-0 katika mchezo uliokuwa na simulizi ya kipekee iliyowakutanisha Kylian Mbappe na baadhi...
Majeraha ya ajabu kwa wanasoka BABA wa kiungo wa England, Jordan Henderson, amefichua kuwa mwanawe alivunjika vibaya mkono wa kushoto wakati wa kusherehekea ushindi dhidi ya Mexico katika Kombe la Dunia.
Messi, Ronaldo wameshindika USHINDANI wa muda mrefu kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo umeendelea kuandika historia mpya katika Kombe la Dunia 2026, huku nyota hao wawili wakiendelea kupigania rekodi ya kuwa mfungaji...
Rihanna amjenga moyo shabiki mwenye saratani MWANAMUZIKI maarufu duniani, Rihanna ameendelea kugusa mioyo ya mashabiki wake baada ya kumfariji mwanamke anayepambana na saratani aliyekuwa akihofia muonekano wake.
Johan Manzambi apagawisha vigogo KIUNGO chipukizi wa Uswisi, Johan Manzambi, ameendelea kuthibitisha kuwa ni mmoja wa nyota wanaochipukia kwa kasi katika soka la dunia baada ya kung'ara katika Kombe la Dunia 2026 na kujiweka...
Kocha wa Yanga atua AS FAR KLABU ya AS FAR ya Morocco imemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Yanga, Mreno, Pedro Goncalves, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Alexandre Santos aliyeondolewa mwishoni mwa...
Job, Kibwana, Mshery watoa msaada wa madawati, vifaa vya shule Wachezaji wa Yanga, Dickson Job, Kibwana Shomary na Abuutwalib Mshery wametoa msaada wa madawati 200, madaftari 3000, mabegi katika shule ya Msingi Kilonga.
Manchester United yamnasa Andrey Santos MANCHESTER United imefikia makubaliano na Chelsea ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Brazil, Andrey Santos, kwa ada ya pauni50 milioni.
Guimaraes aaga Newcastle, Arsenal yatajwa ARSENAL imeongeza kasi katika harakati za kumwania kiungo nyota wa Brazil, Bruno Guimaraes baada ya taarifa kueleza kuwa mchezaji huyo ameomba kuondoka Newcastle United katika dirisha hili la...