Hispania yalipa kisasi baada ya miaka 40, ikiitupa nje Ubelgiji TIMU ya taifa ya Hispania imefuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ubelgiji.
Klabu yamzuia beki Mbelgiji kucheza dhidi Hispania Beki wa Ubelgiji, Zeno Debast, amejikuta katikati ya mvutano mkubwa kati ya timu yake ya taifa na klabu yake ya Sporting Lisbon, huku akitarajiwa kuukosa mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia...
Lionel Messi, Kylian Mbappe kama pacha KYLIAN Mbappe ameiongoza Ufaransa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kufunga bao katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Morocco, akijibu kwa vitendo baada ya kukosa penalti...
Bruno akumbwa na matusi kisa Cristiano Ronaldo NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, amejikuta akipokea wimbi kubwa la matusi na lawama katika mitandao ya kijamii baada ya Ureno kutolewa kwenye Kombe la Dunia, huku baadhi ya...
Alonso atua! Apagawisha mashabiki Chelsea ENZI mpya zimeanza Chelsea baada ya kocha mpya, Xabi Alonso, kutua rasmi katika kituo cha mazoezi cha Cobham katika siku yake ya kwanza ya maandalizi ya msimu mpya, huku mashabiki wa klabu hiyo...
Vozinha anatua kwa Messi KIPA mkongwe wa Cape Verde, Vozinha, ambaye alikuwa mmoja wa mastaa waliotikisa Kombe la Dunia, anatajwa kuwa mbioni kutua Inter Miami kwa uhamisho wa bure baada ya kumvutia mmiliki wa klabu...
Mbappe: Yoyote aje awe Ubelgiji au Hispania NAHODHA wa Ufaransa, Kylian Mbappe amesema hana upendeleo wa mpinzani watakayekutana naye katika nusu fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuiongoza timu yake kuiondoa Morocco kwa ushindi wa mabao...
Samir Nasri akamatwa, kuhojiwa kwa saa 10 NYOTA wa zamani wa Arsenal na Manchester City, Samir Nasri, ameripotiwa kukamatwa na kuhojiwa na polisi wa Ufaransa katika uchunguzi wa tuhuma za utakatishaji fedha zinazodaiwa kuhusishwa na...
Arsenal, Tzolis ni suala la muda tu ARSENAL ipo hatua za mwisho kukamilisha usajili wa winga wa Club Brugge, Christos Tzolis, kwa gharama ya pauni35 milioni litakalomfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kuwahi kutoka nchini Ugiriki.