Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

698 results for Damian Masyenene :

  1. Mingange apata mrithi Chama la Wana

    KLABU ya Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga iko hatua za mwisho za kumalizana na Kocha wa Fountain Gate Princess, Juma Masoud ili achukue nafasi iliyoachwa wazi na Meja Mstaafu Abdul...

    Mingange Pict
  2. Sunzu, maveterani kuchangia madogo wenye saratani

    WACHEZAJI wa zamani wa klabu mbalimbali jijini Mwanza wameandaa tamasha la michezo ya kirafiki katika mchezo wa soka na netiboli, ili kuchangisha fedha za kusaidia mahitaji mbalimbali ya watoto...

    Sunzu Pict
  3. Kocha Stand aukubali mziki wa Geita Gold, ajipanga upya

    BAADA ya kumaliza mzunguko wa kwanza Ligi ya Championship kinyonge kwa kuchapwa mabao 3-1 na Geita Gold, Kocha Msaidizi wa Stand United, Feisal Hau amekubali kiwango cha wapinzani wake huku...

    Stand Pict
  4. Mabao yairejesha Kagera Sugar kambini haraka

    BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limepanga kuanza mapema maandalizi ya duru la pili la Ligi Kuu Bara wiki ijayo baada ya kuwapa mapumziko ya wiki tatu wachezaji, huku ikielezwa tatizo la ufungaji...

    Kagera Pict
  5. PRIME Soka la Mzize lamshtua Mnigeria

    MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize ameendelea kuwa gumzo kwa mashabiki na wadau wa soka kutuokana na kiwango kizuri alichokionyesha hadi sasa katika mechi za mashindano zote za timu hiyo.

    Mzize Pict
  6. Usajili wazibeba JKT Queens, Simba

    KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake kutokana na kufanya usajili bora na uwekezaji...

  7. Ditram Nchimbi apewa miezi sita Mbeya City

    MSHAMBULIAJI nyota wa zamani wa Majimaji, Yanga, Polisi Tanzania na Taifa Stars, Ditram Nchimbi amejiunga na Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi ya Championship kwa mkataba wa miezi sita hadi mwisho...

  8. Kigi Makasi achimba mkwara Championship

    KIGI Makasi, nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mtibwa Sugar aliyetua Stand United ‘Chama la Wana’ amesema wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo wamekula kiapo cha kushinda mechi za...

  9. Basigi: Mwendo ni huu hadi ubingwa

    BAADA ya kuhitimisha duru la kwanza Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) ikiwa kileleni bila kupoteza mchezo, kocha mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema hawatabweteka na matokeo hayo kwani anakwenda...

    New Content Item (1)
  10. 5G yamliza Sultan, asaka beki fasta

    BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi ya timu hiyo na fasta kuamua kutafuta beki wa kati...

    New Content Item (1)
Previous

Page 5 of 70

Next