Azam FC yalia na waamuzi Kocha mkuu wa Azam FC, Bruno Ferry amewataka waamuzi kuongeza umakini ili kutenda haki kwa timu zote. Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union...
Mgunda akwama Simba, Nkoma kutua Malawi MPANGO wa Simba kumtumia kocha Juma Mgunda katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi Nyasa Big Bullets ya Malawi siku ya Jumamosi hii umekwama. Simba...
Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Nabi amvuta Msuva Yanga SIMON Msuva yupo nchini tangu mwaka jana baada ya kuzinguana na timu yake ya Wydad Casablanca ya Morocco na kupelekana Fifa, ila juzi alifunga mabao mawili kwenye mechi ya hisani ya timu Samakiba...
Waziri Bashungwa mgeni rasmi Kili Marathon 2021 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za mwaka huu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zinazotarajiwa kufanyika Jumapili...
Waamuzi walioboronga Simba, Yanga wala umeme BAADA ya malalamiko mitandaoni kuhusu waamuzi kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara waamuzi wa mechi za mbili za Yanga, Simba wamepigwa umeme. Mwamuzi wa...
Man U, Arsenal zapangiwa vigogo Europa Manchester United na AC Milan zimekutana mara tatu tofauti katika mashindano ya Ulaya ambapo zote zilikuwa katika hatua ya nusu fainali na mara zote ilitupwa nje mashindanoni
Okwa: Bado Yanga KIUNGO mpya wa Simba, Nelson Okwa amewaambia Yanga, “bado nyie.” Staa huyo ametuma salamu kwa watani zao akisema kile alichoonyesha kwenye kilele cha tamasha la Simba Day juzi Jumatatu ni mfano...
Mashindano ya kuogelea la Kanda ya nne yaanza kwa kishindo Dar es Salaam. Mashindano ya kuogelea ya Kanda ya nne Afrika (Cana Africa Zone 4) yameanza kwa kishindo jijini Dare s Salaam huku waogeleaji wa Tanzania wakionyesha makali yao. Mashindano hayo...
Kayoko aweka rekodi MWAMUZI Ramadhan Kayoko jana aliweka rekodi kwa mechi za dabi za hivi karibuni baada ya kugawa jumla ya kadi za njano tisa, wakati Simba na Yanga zilipopambana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa...