Dili jipya la Lawi hadharani Wakati Simba ikiondoka nchini juzi kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao bila Lameck Lawi, taarifa ikufike nyota huyo wa Coastal Union yupo zake bize akipambana kukamilisha safari...
Saa 72 kuamua hatma ya Aziz KI Yanga MASHABIKI wa Yanga wamepata presha ya ghafla wakati wenzao wa Simba wanacheka, huku wakiomba dua mbaya kiungo Stephanie Aziz KI aondoke Jangwani, lakini kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi...
Yanga yashusha beki usiku mnene, Wakongo waleta kauzibe SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki wa kushoto mpya.
Coastal UNION yamkomalia Lawi WAGOSI wa Kaya, Coastal Union imeendelea kuikazia Simba kwa kumng’ang’ania beki wa kati Lameck Lawi, ambaye hapo awali walikubaliana kumuuza kwa Wekundu hao kabla ya kubadili gia hewani.
Mastaa Yanga wampokea Chama kifalme HUKO Jangwani, unaambiwa sio mashabiki na wapenzi tu wa Yanga waliofurahishwa na ujio wa kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Clatous Chama aliyesajiliwa akitoka kumaliza mkataba na Simba...
Yanga yaanza na 'Thank You' mbili kimyakimya YANGA imeanza kutoa 'thank you' kimyakimya, ambapo imeshawaaga nyota wawili akiwemo kipa, Metacha Mnata na kiungo mmoja, Zawadi Mauya.
Mrithi wa Inonga Simba huyu hapa MASTAA wa Simba wanaanza kujumuika pamoja kuanzia kesho Jumatatu, lakini utamu zaidi ni dili la mrithi wa beki wa kati aliyetimkia FAR Rabat ya Morocco
Guede kumpisha Sowah Yanga YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka...
Mwamnyeto apewa miwili Yanga NAHODHA wa Yanga, Bakar Mwamnyeto ameongeza mkataba wa miaka miwili ili kukitumikia kikosi hicho, huku klabu hiyo ikitoa Sh300 milioni kama pesa ya usajili huo. Mwamnyeto aliyekitumikia kikosi...
Simba yamfuata beki mpya Yanga DILI la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua kama tayari ameshamalizana na Yanga. Boka ni mchezaji wa kwanza kusaini Yanga baada ya...