Mayele awatumia meseji mabeki Ligi Kuu MZEE wa kutetema, Fiston Mayele ndo ameshasema hivyo na sasa wapinzani wajipange. Straika huyo wa mabao amepiga stori na Mwanaspoti na kueleza namna Yanga wanavyolitaka kombe la Ligi Kuu Bara...
Simu ya Pablo yamleta winga WAKATI mabosi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez wakitarajiwa kukutana leo jijini Dar es Salaam kujadili...
Fraga anarudi Simba WATETEZI wa Ligi Kuu Bara, Simba ipo njiani kurejea Dar es Salaam ikitokea Tabora ambapo jana jioni ilimalizana na KMC katika mechi yao iliyopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, lakini taarifa...
Pablo aachiwa msala Simba SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani leo mjini Tabora kuvaana na KMC, huku kocha mkuu wake, Pablo Franco akiachiwa msala juu ya hatma ya nyota wapya wanaowindwa ili kujiunga na timu hiyo kupitia...
Simba kubeba kipa wa Yanga SIKU chache baada ya Yanga kutangaza kusaka kipa mpya, mabosi wa Simba nao wamejiongeza kumnasa kipa wa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Jeremiah Kisubi aliyeomba apekwe kwa mkopo Tanzania...
Vyuma vipya Simba hivi hapa MABOSI wa Simba wameitana chemba na kufanya kikao kizito kujadili ripoti ya kocha Pablo Franco aliyetaka ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari...
Sure boy aagwa rasmi Azam AZAM FC, wametangaza rasmi kuachana na nahodha wao msaidizi, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ baada ya kudumu katika kikosi hicho kwa muda wa miaka 14. Wiki kadhaa zilizopita Uongozi wa Azam...
Sure Boy, Nkane rasmi Yanga YANGA imetua jana jijini Mbeya tayari kwa safari ya kwenda mjini Sumbawanga kuwafuata maafande wa Tanzania Prisons, lakini kabla ya kupaa walifanya fasta kuchukua mashine mbili za kazi, huku...
Simba yaanza kiungo fundi KIKOSI cha Simba tayari kipo Bukoba kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa Kaitaba, huku Kamati yake ya Usajili, chini ya Mwenyekiti...
Pablo kufyeka watatu Simba KIKOSI cha Simba hapo jana kiliwasili salama Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, huku Kocha Mkuu, Pablo Franco akinoa panga kabla ya kufyeka vichwa...