Amorim athibitisha Man United kucheza na Al-Nassr KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amethibitisha kuwa kikosi hicho kinapanga kuandaa mechi za kirafiki katikati ya msimu ili kuongeza mapato, kutokana na ukosefu wa ushiriki kwenye...
Nicky Butt awekwa kwenye kona, kulipa fidia ya mamilioni NYOTA wa zamani wa England, Nicky Butt, huenda akalipa maelfu ya pauni kama fidia baada ya kumgonga mtu aliyekuwa anaendesha pikipiki na kumvunja mguu.
Wachambuzi, malejendi wamvaa kocha Man United MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amekosoa vikali madai ya Ruben Amorim kwamba wachambuzi wanashawishi wachezaji wa timu hiyo na kumtaka asijifiche na kulaumu watu wengine.
Raundi tatu za Ligi Kuu Bara,Fountain Gate hadi aibu JANA Oktoba 1, 2025, raundi ya tatu ya Ligi Kuu Bara ilihitimishwa kwa kuchezwa mechi mbili, Simba ikiifunga Namungo mabao 3-0, huku JKT Tanzania ikitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam.
Hamilton arudi uwanjani baada ya msiba wa mbwa wake 'Roscoe' DEREVA wa timu ya Ferrari, Lewis Hamilton alijizuia kulia alipofunguka kuhusu mapenzi makubwa aliyopokea kufuatia kifo cha mbwa wake Roscoe, akiliita tukio hilo kuwa la kushtua kihisia.
Thomas Tuchel atangaza kikosi, amtema Bellingham Meneja wa timu ya Taifa ya England, Thomas Tuchel hajamuisha nyota wa Real Madrid, Jude Bellingham katika kikosi chake kinachojiandaa na michezo miwili ya kimataifa mwezi huu.
Amorim ataja kinachoitafuna Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema moja kati ya vitu ambavyo kikosi chake kinakosa ni wachezaji watukutu wenye ‘roho mbaya’ uwanjani.
Slot ambwagia zigo la lawama Frimpong KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amemwangushia zigo la lawama mchezaji wake Jeremie Frimpong kufuatia uzembe alioufanya ambao ulisababisha timu hiyo kupoteza kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya...
Keane ashinikiza Amorim afukuzwe, ampendekeza Simeone Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na kocha Ruben Amorim haraka iwezekanavyo, ili kuinusuru timu hiyo ambayo imeanza vibaya msimu huu 2025-2026.
Staa avunjika mifupa ya shingo, hatarini kupooza NYOTA wa kimataifa wa Togo, Samuel Asamoah yupo katika hatari kubwa ya kupooza mwili mzima baada ya kujigongana vibaya katika bango la matangazo Uwanjani.