Ligi Kuu Bara yasimama hadi Machi mosi, 2025 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza kuwa baada ya michezo iliyofanyika Desemba 29, 2024 ligi hiyo itasimama hadi Machi mosi itakaporejea kwa mzunguko wa 17.
Spurs yaichapa Liverpool nusu fainali ya kwanza Carabao Tottenham imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Liverpool katika nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Carabao iliyochezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur usiku wa kuamkia leo Januari 9, 2025.
Potter atambulishwa West Ham, afunguka BAADA ya kukaa nje ya gemu kwa mwaka mmoja na miezi 10, hatimaye kocha wa zamani wa Chelsea na Brighton, Graham Potter amepata shavu la kuinoa West Ham United akichukua mikoba ya Julien Lopetegui.
Camara kazini kuivaa Taifa Stars Novemba 19 Kipa wa Simba, Moussa Camara ni miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa katika kikosi cha Guinea kitakachocheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya DR...
PRIME Malone awagawa mabosi wa Simba BEKI wa Simba, Che Malone Fondoh, amezua jambo klabuni Msimbazi ambako mabosi wa klabu hiyo wamegawanyika pande mbili kuhusu ishu yake.
Zanzibar Heroes, Burkina Faso kitapigwa tena Mapinduzi Cup WENYEJI wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, Zanzibar Heroes imetinga fainali kwa mbinde na sasa itakutana tena na Burkina Faso iliyowanyoa bao 1-0 katika makundi baada ya juzi usiku kuing’oa...
Yanga yaanza na kikosi cha mabao mengi KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic ameamua kuiwekea MC Alger kikosi cha maangamizi akianza na washambuliaji watatu ambao wamekuwa wapo vizuri katika kucheka na nyavu na kusaidia mashambulizi.
Amorim avunja TV, mashabiki wafurahia KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amevunja televisheni kwenye vyumba vya kubadilishia baada ya kupata hasira akiwagombeza wachezaji wake kutokana na kucheza kwa kiwango cha ovyo kwenye...
Arteta apiga muziki mazoezini Mpango wa Arteta ni kuhakikisha anajaribu kuweka utulivu wa kutosha kwenye timu yake ili kufikia mafanikio yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.
Vigogo wanaisubiri Spurs au United nusu fainali Mshambuliaji wa Arsenal Gabriel Jesus, jana alifanya mambo makubwa baada ya kufunga mabao matatu, 'hat trick' na kuipeleka timu yake hatua ya nusu fainali ya Kombe la Carabao, huku Liverpool nayo...