Msuva na hesabu kali Saudia Mshambuliaji Saimon Msuva amesema hataruhusu historia ya kucheza soka la kulipwa Saudi Arabia kwa muda mfupi ijirudie akitambia kubebwa na uzoefu wa soka na mazingira ya nchini humo ambako...
Kinda Mtanzania kupeperusha bendera Russia KINDA wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge (12) ndiye Mtanzania pekee anayeiwakilisha Tanzania katika michuano maarufu ya Games of the future iliyoanza leo jijini Kazan Russia. Harrith ambaye ni...
Gamondi awang'oa mastaa wawili Yanga kupisha usajili Winga Jesus Moloko rasmi amepewa barua ya kusitishiwa mkataba na Yanga baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka miwili na nusu. Moloko amepewa barua leo Januari 15 asubuhi ya kuachwa na Yanga...
Washambuliaji Simba wamtesa Benchikha KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amebakiza maeneo machache kuboresha kikosi, lakini kubwa ni lile la ushambuliaji. Benchikha ameliambia Mwanaspoti kwamba, anafurahia maboresho na wachezaji...
Simba: Hatupo tayari Yanga atangaze ubingwa kwetu WAKATI joto la pambano la watani wa jadi Simba na Yanga likianza kupanda wenyeji wa mchezo huo Simba imetoa kauli nzito ikisema hawako tayari kuwaona wapinzani wao wanatangaza ubingwa mbele...
Yanga waanza mbinu za ushindi WAKATI Simba ikiingia kambini jana kwa maandalizi ya mechi na watani zao, Yanga nao wameingia kambini ingawa wao juzi walianza na mazoezi ya gym.
Gomes achomoa ofa ya Waarabu MASHABIKI wa Simba hawana sababu ya kuwa na presha kutokana na kuwepo kwa taarifa kwamba kocha wao, Didier Gomes anatakiwa na Libya ili kwenda kuinoa timu yao ya taifa, kwani Mfaransa huyo...
Hersi: Nabi bado yupo sana Yanga Wakati uvumi ukizagaa kwamba uongozi wa Yanga haufurahishwi na mwenendo wa timu yao hasa baada ya kutoa sare nyumbani dhidi ya Al Hilal, Rais wa klabu hiyo injinia Hersi Said amekanusha taarifa...
Waziri atua Dodoma Jiji UONGOZI wa Dodoma jiji FC, umesema tayari umekamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Waziri Jonior kuimarisha safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania...
Diarra aibeba Yanga mapemaa YANGA inashuka ugenini leo dhidi ya Real Bamako, lakini wenyeji walipanga kitu flani cha kuwaharibia utulivu lakini fasta kipa Djigui Diarra akajivika mabomu na kuibeba Yanga kwa kuzipangua...