Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9765 results for Mwandishi :

  1. Bado sita tu kufuzu Kombe la Dunia 2026

    HADI kufikia leo Jumatano Novemba 19, 2025, tayari timu za mataifa 42 zimejihakikishia nafasi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2026 katika nchi za Canada, Mexico na...

  2. Guardiola ammisi Jurgen Klopp EPL

    KOCHA, Pep Guardiola amekiri “amemmisi Jurgen Klopp” wakati chama lake likijiandaa kukabiliana na Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uwanjani Etihad, Jumapili.

  3. Calafiori azua hofu Arsenal

    ARSENAL inahaha kwa sasa kijasho kikiwatoka kuhusu ufiti wa beki wake Riccardo Calafiori baada ya Mtaliano huyo kukosa mechi ya nchi yake ya Italia dhidi ya Moldova kwenye mikikimikiki ya kufuzu...

    CALIFIORI Pict
  4. DR Congo kuumana na hawa mchujo Kombe la Dunia

    Wapinzani watano wa DR Congo katika mechi za hatua ya mwisho za mchujo kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 wamejulikana rasmi usiku wa kuamkia leo baada ya mechi za mwisho za hatua ya...

  5. Ishu ya posho za wachezaji Super Eagles yamshangaza staa EPL

    Mchezaji wa zamani aliyetamba na klabu ya Watford katika Ligi Kuu ya England, Troy Deeney, ameshangazwa na kitendo cha wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, kususia mazoezi kwa...

    POSHO Pict
  6. Kisa kadi nyekundu, Martinez amkingia kifua Ronaldo

    Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martínez, amemkingia kifua nahodha na mshambuliaji wa kikosi hicho, Cristiano Ronaldo, kufuatia adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa katika mechi ya kufuzu...

    MARTINEZ Pict
  7. Mbrazili Oscar azua hofu Brazil

    KIUNGO wa soka wa Kibrazili, Oscar amelazimika kuwahishwa hospitalini baada ya kuanguka ghafla akiwa mazoezini huko Sao Paulo.

  8. Fowler: Liverpool? Hii haichukui tena

    GWIJI wa Liverpool, Robbie Fowler amebainisha sababu zake zinazomfanya aifute timu hiyo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

    FOWLER Pict
  9. Gernot Rohr aitahadharisha Nigeria kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Gernot Rohr, ametabiri matokeo ya fainali ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya Super Eagles na DR Congo

    GERNOT Pict
  10. Maresca ruksa kubadili kikosi

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amepewa ruhusa na mabosi wake kuendelea kuwapa nafasi ya kucheza mastaa wake kwa kubadilibadili kikosi licha ya kwamba jambo hilo liliifanya timu hiyo kupata sare...

    MARESCA Pict
Previous

Page 304 of 977

Next