Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8535 results for Mwandishi Wetu :

  1. 17 waonyeshwa kadi nyekundu mechi moja

    MECHI moja ya soka Bolivia, Bara la Amerika Kusini ilishuhudiwa wachezaji 17 wakitolewa nje kwa kadi nyekundu kutokana na vurugu zilizoibuka kati ya timu za Blooming na Real Oruro.

    KADI NYEKUNDU Pict
  2. Kocha Man United kuondoa watatu Januari 2026

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim yupo tayari kuruhusu wachezaji watatu kuondoka dirisha lijalo la usajili la Januari.

    AMORIM Pict
  3. PSG kuiharibia Barcelona kwa Rashford

    LICHA ya kuonyesha nia ya kuendelea kusalia Barcelona na kusaini mkataba wa kudumu, ripoti zinadai Paris Saint-Germain imeingia kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili mshambuliaji Marcus Rashford...

    RASHFORD Pict
  4. Chama la Wana Lajinasua mkiani

    WAKATI mechi za Ligi ya Championship zikitarajiwa kuendelea tena keshokutwa Jumapili, Stand United (Chama la Wana), baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila kupata ushindi hatimaye juzi...

    STAND Pict
  5. Mrithi wa Mnguto kupatikana Dar kesho Jumamosi

    MBIVU na mbichi ya safu mpya ya uongozi ya Bodi ya Ligi (TPLB) itajulikana kesho Jumamosi, Novemba 29, wakati Mkutano Mkuu wa 12 wa Baraza Kuu la bodi hiyo utakapofanyika jijini Dar es Salaam...

    UCHAGUZI Pict
  6. Mashabiki Young Boys wakinukisha Villa Park, Malen ajeruhiwa

    Mshambuliaji wa Aston Villa, Donyell Malen, amepata jeraha kichwani baada ya kugongwa na kikombe katika mechi ya Europa League dhidi ya Young Boys, iliyopigwa jana Alhamisi, Novemba 27, 2025...

    YOUNG Pict
  7. Liverpool kumrudisha Klopp kwa muda! Enrique awekwa kwenye orodha

    Klabu Liverpool imemuomba kocha Jürgen Klopp, kurejea klabuni hapo kwa muda ili kuchukua nafasi ya Arne Slot, aliyekalia kuti kavu kwa sasa.

    LIVERPOOL Pict
  8. PRIME Kabla Mkutano Mkuu, vigogo Simba wanyoosheana vidole

    Soma hapa

    VIGOGO Pict
  9. Wikiendi hii kamata muvi hii ya kibabe

    EBWANAEE wikiendi ndo imeanza hivyo. Kwa wale wapenzi wa muvi, tuwe tunakutana hapa kila Ijumaa kupeana vituz. Hapa tutakuwa tukichambua kwa ufupi muvi ya wiki, kisha kukupa orodha ya mzigo wa...

    MUVI Pict
  10. Mashujaa, Dodoma vita nzito leo

    LIGI Kuu Bara inaendelea leo kwa mechi moja kupigwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma kwa wenyeji Mashujaa kuikaribisha Dodoma Jiji katika pambano la kisasi kutokana na rekodi za timu hizo...

    LIGI KUU Pict
Previous

Page 297 of 854

Next