Kocha Man United hataki kujiuzulu KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameweka wazi kwamba hana nia ya kujiuzulu kuifundisha timu hiyo lakini anajua shinikizo litaongezeka ikiwa hatashinda Europa League.
Sura mpya zinaitaka Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amefichua kuna kundi kubwa la wachezaji bora ambao wako tayari kujiunga nao licha ya timu yao kutofanya vizuri kwenye Ligi Kuu England msimu huu.
Rudiger anukia kupewa kibano BEKI kisiki wa Real Madrid, Antonio Rudiger inadaiwa atakutana na adhabu kubwa kwa kumtupia barafu mwamuzi kwenye mchezo wa fainali ya Copa del Rey dhidi ya Barcelona ambao ulimalizika kwa Madrid...
Hawa wameoga tu, mjini hawaendi BAADA ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu England jana, moja kati ya mtihani mwingine ambao unawakabili Liverpool kwa sasa ni kuamua nani atavaa medali na nani hatovaa.
Fountain Gate yaizima Stand United kwao Fountain Gate imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United kwenye mchezo uliojaza mashabiki wengi. Fountain imefika hapa...
Cunha afika wa kwanza mazoezini Man United STAA mpya wa Manchester United, Matheus Cunha amedhamiria kumshawishi kocha Ruben Amorim katika siku yake ya kwanza ya ‘pre-season’ huko Carrington, Jumatatu.
Bosi Arsenal apanda ndege kumfuata Gyokeres BOSI wa usajili kwenye kikosi cha Arsenal, Andrea Berta amekwea pipa kwenda Ureno kufanya mazungumzo ya kina na mabosi wa Sporting Lisbon kwa ajili ya kukamilisha usajili wa straika wa mabao...
Ruben Amorim sasa achanganyikiwa KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim kichwa kinauma. Katika dirisha hili Mreno huyo alikuwa na mpango wa kujenga upya kikosi chao kwa kusajili maeneo muhimu kama ushambuliaji, mabeki na...
Luis Enrique afunguka kumchapa Joao Pedro KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique ameelezea kwa nini amemchapa kibao Joao Pedro kwenye vurugu zilizotokea baada ya Chelsea kushinda taji la Klabu Bingwa Dunia kwa kuifunga miamba hiyo ya...
Tshabalala aaga rasmi Simba, Yanga yatajwa kumalizana naye BEKI wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' sio tu kumaliza mkataba wake kikosini hapo, pia ameiaga rasmi akionyesha hataendelea na Wekundu hao, huku watani zao wa jadi, Yanga wakitajwa...