Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Miujiza ya jezi ya Mayele, Simba hawaitaki watoa sababu

    WAKATI mastaa wengi wa miaka ya karibuni wakiikwepa jezi namba tisa kwa timu za Simba na Yanga, straika wa Yanga, Fiston Mayele amevunja mfupa uliowashinda wengi. Katika kikosi cha Yanga, jezi...

  2. Pablo: Ole wake aliyekesha, mastaa Simba kufanyiwa ukaguzi mzito

    NYOTA wa Simba leo Jumapili wanarudi kambini kutoka mapumziko mafupi, ili kujiandaa na mchezo wao wa mwisho wa Kundi D ya Kombe la Shirikisho Afrika, dhidi ya USGN ya Niger, huku kocha Pablo...

  3. Ishu ya Bangala, Farid iko hivi!

    KOCHA msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze ametoa siri za wachezaji wawili ndani ya kikosi hicho. Farid Mussa na Yannick Bangala. Kaze ambaye ni raia wa Burundi anayetumia muda mwingi mtandaoni...

  4. Sakho atoa ahadi nzito, afichua walivyokaa kikao kizito

    WINGA wa Simba, Pape Ousmane Sakho ameshusha mkwara kwamba wao kama wachezaji wana jambo lao zito na kwamba mchezo wa Aprili 3 dhidi ya Union Sportive de la Gendarmerie utarudisha heshima yao na...

  5. Barbara: Tutafuzu kwa kishindo

    OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema hakuna wasiwasi wowote licha ya kupoteza ugenini mabao 3-0 dhidi ya Asec kwani timu hiyo inakwenda kucheza robo fainali ya Kombe la...

  6. ASEC walitisha, Manula balaa

    WAWAKILISHI pekee kutoka Afrika Mashariki na Kati kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba baada ya kupoteza ugenini nchini Benin dhidi ya Asec Mimosas kwa mabao 3-0, mechi ya mwisho...

  7. Tiketi ya Simba CAF ipo Dar

    SIMBA jana ilipoteza mechi yake ya pili katika Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika kwa kufungwa na Asec Mimosas na sasa imesalia na dakika 90 za maajabu Dar.

  8. Kisa Pablo, Barbara afunguka

    MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kwa jinsi Kocha Mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco alivyoibadilisha Simba na kuitengenezea hali ya ushindani, anaona kabisa wakienda kutimiza ndoto...

  9. Pablo: Kama sio tatu basi moja

    WAKATI kocha wa Simba, Pablo Franco akisema wanakwenda kucheza ugenini ili kujihakikisha tiketi ya robo fainali, beki wake wa kulia, Shomary Kapombe amewatuliza mashabiki wa timu hiyo akisema...

  10. Morrison, Bwalya wapewa kazi maalum, wawili nje

    SIMBA wametua salama mjini Cotonou, Benin kwa mchezo wao Kombe la Shirikisho Afrika leo dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast, huku Bernard Morrison na Rally Bwalya wakipewa kazi maalumu kikosini...

Previous

Page 28 of 89

Next