Che Malone awaomba radhi mashabiki Simba BEKI wa kati wa Simba, Che Malone leo amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kutokana kosa alilolifanya jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos ya Angola.
Kamungo ala shavu Marekani KIUNGO mshambuliaji raia wa Tanzania, Bernard Kamungo amepata shavu la kuongeza mkataba wa miaka mitatu hadi 2028 katika klabu yake ya FC Dallas ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS).
Winifrida Charles arejea Fountain Gate baada ya kupona BAADA ya kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha ya goti, hatimaye kiungo mshambuliaji wa Fountain Gate Princess, Winifrida Charles, amerejea akicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Boni...
Kinda la Yanga laingia kikosi bora KINDA wa Yanga, Shaibu Mtita anayekipiga Wakiso Giants ya Uganda ameingia kwenye kikosi bora cha raundi ya 15 baada ya kufanya vizuri kwenye nusu ya msimu wa ligi ya nchi hiyo.
Kina Enekia waanza pale walipoishia Mexico WATANZANIA wawili wanaokipiga Ligi ya Wanawake ya Mexico kila mmoja ameanza msimu mpya kama walivyomaliza msimu uliopita.
Straika Mtanzania arejea Bongo STRAIKA wa zamani wa Fleetwoods United FC, Mgaya Ally iliyokuwa inashiriki Ligi Darala la Pili UAE yuko Bongo akiwindwa na Coastal Union ya Tanga.
Mnunka akubali yaishe Simba Queens BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi mitano, hatimaye straika wa Simba Queens, Aisha Mnunka amekubali yaishe na kuingia kambini na wenzake.
JKT Queens yabeba wawili wapya JKT Queens kama ilivyo kawaida yake ya kusajili wachezaji chipukuzi ambao wanafanya vizuri, tayari imenasa saini za wachezaji wapya wawili makinda wenye vipaji.
Nyota Bayern mwenye asili ya Bongo ataja sababu kutimkia Uswisi WINGA wa Bayern Munich, Nestory Irankunda mwenye asili ya Tanzania ametolewa kwa mkopo na klabu hiyo kwenda Grasshopper Club Zurich ya Uswisi.
Simba yapewa Mbukinabe, Mnyarwanda Yanga SIMBA na Yanga zipo ugenini kwa sasa zikijiandaa na mechi za raundi ya tano za michuano ya kimataifa inayopigwa wikiendi hii, huku Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likitangaza waamuzi...