Fifa 'yauza' Kombe la Dunia SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa) limeshutumiwa “kuuza roho ya soka” kutokana na mpango wa kupiga bei haki za kibiashara za Kombe la Dunia wenye thamani ya Dola 20 bilioni.
Kutoka uwanjani hadi kwenye skripti, Ronaldo aanza safari mpya NYOTA Al Nassr na Ureno, Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuwa mtayarishaji na pia mmoja wa waigizaji katika tamthilia mpya ya televisheni iitwayo "Day 1s" akishirikiana na mwongozaji mashuhuri...
Petit amkata Kane mbio za Ballon d'Or 2026 NGULI wa zamani wa soka wa Ufaransa, Emmanuel Petit, anaamini kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, hana tena nafasi ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or 2026...
Szoboszlai atoa darasa la faulo KIUNGO nyota wa Liverpool, Dominik Szoboszlai amemuonyesha mchezaji mwenzake Harvey Elliott jinsi ya kupiga mpira wa adhabu (free-kick) kwa ustadi wa hali ya juu, na matokeo yake yamewavutia...
Real Madrid yapambana kumzuia Vinícius kutimkia Arsenal SOKO la usajili Ulaya linaendelea kushika kasi, huku mhusika mkuu saa za karibuni akiwa ni Vinícius Junior, ambapo mshambuliaji huyo nyota wa Real Madrid ameibuka kuwa kitovu cha mvutano kati ya...
Unamuonaje Schwarzenegger? Chukua hii UNAMKUMBUKA mkali wa filamu za mapigano Arnold Schwarzenegger? Mwamba alicheza picha kibao ambazo zilimfanya kuwa bilionea, na kumfanya azungumzwe sana katika mitaa na vijiwe vingi vya Bongo enzi...
Ngai ahesabu mafanikio, Himba aahidi vitendo Ujumbe Yanga TUNAENDELEA kuwaangalia wagombea wa uchaguzi mkuu wa Yanga tukisalia palepale kwenye kundi la waaoutaka ujumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo ambao wameshapita kwenye mchujo wa mwisho...
Man City yaandaliwa ofa Madrid kwa Rodri PARIS Saint-Germain (PSG) haina mpango wa kuwasilisha ofa ya kumsajili kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania, Rodrigo Hernandez Cascante maarufu Rodri ambaye alishinda Kombe la...
Pigo Yanga, Pacome kukosekana msimu ujao Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia usajili wa mshambuliaji Peter Shalulile, kuna habari ambayo inaweza kuwapa huzuni juu ya kiungo wao kipenzi, Pacome Zouzoua.
Zidane akabidhiwa mikoba ya Deschamps, kuanza na Uturuki Shirikisho la Mpira wa Miguu Ufaransa (FFF) leo, Jumanne, Julai 28, 2026 limemtambulisha rasmi Zinedine Zidane kuwa Kocha Mkuu wa timu yao ya taifa.