Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Outtara anukia Azam FC

    MATAJIRI wa soka nchini, Azam FC imepoteza matumaini yua kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini mabosi wa klabu hiyo wameanza mipango ya kuisuka timu kwa msimu ujao ikipanda kuleta...

  2. Ratiba yachefua mastaa Simba

    KIKOSI cha Simba kimeingia kambini juzi mchana na jioni kilitarajiwa kujifua mazoezi ya kwanza ili kujaindaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting, lakini mastaa wake...

  3. Pablo avuta kiungo fundi Dodoma

    SIMBA imerejea jijini Dar es Salaam na juzi ilitarajiwa kuanza kambi kujiandaa na mechi zao za Ligi Kuu Bara na kiporo cha robo fainali ya Kombe la ASFC, huku kocha wa timu hiyo akimpigia hesabu...

  4. Nabi atoa maelekezo makali kwa mastaa Yanga

    KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amekuwa mkali kwelikweli. Anasema baada ya mechi dhidi ya Simba hataki kuona mchezaji wake yeyote akiishi kama msimu umeshamalizika. Nabi alisema malengo ya...

  5. Yanga, Simba hakuna mbabe

    Dakika 90 zimetamatika mchezo baina ya Yanga dhidi ya Simba kwa suluhu ya bila kufungana kwenye mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa.

  6. Inonga, Mayele siyo mchezo

    Muda mfupi kabla ya mechi kuanza beki wa kati wa Simba, Inonga Baka aliingia uwanjani na kwenda upande waliokuwa wachezaji wa Yanga (Kaskazini) kuwainua mashabiki wao na kutaka kumshangilia...

  7. Kwa Mkapa shughuli imeanza kufana mapema

    ZIMEBAKI zaidi ya saa saba, kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa saa 11:00 jioni ya leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

  8. Simba yakwepa mtego wa VAR

    SIMBA wajanja sana. Baada ya kusikia, mechi yao ya awali ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates ya Sauzi itakuwa na VAR, fasta mabosi wa timu hiyo wameamua...

  9. Adebayor, Simba ndio basi tena

    MIPANGO ya Simba kumnasa winga matata kutoka USGN ya Niger, Victoriesn Adebayor, huenda ikaingia mchanga, Mwanaspoti limedokezwa na mtu wa kuaminika sana. Ukweli ni kwamba RS Berkane ya Morocco...

  10. Mkakati mpya wa Pablo Simba

    KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema kucheza mechi mbili ngumu ndani ya siku nne ni kati ya mambo yaliyochangia wachezaji wengi kuchoka kutokana na kutumia nguvu nyingi.

Previous

Page 26 of 89

Next