Lusajo akingiwa kifua Namungo KUPUNGUA kasi ya ufungaji kwa mshambuliaji wa Namungo, Reliants Lusajo wala hakumpi presha kocha wa kikosi hicho, Hanour Janza akisema kikubwa timu inapata matokeo mazuri na hilo ndilo jambo la...
Yanga yajikita kileleni, yaichapa Geita Gold Kirumba , Zawadi Mauya, Feisal Salum/Aziz Ki, Salum Abubakar 'Sureboy', Haritier Makambo/Mayele, Denis Nkane/Tuisila Kisinda na Bernad Morrison/ Moloko. GEITA GOLD: Arakaza...
Minziro apangua watatu, Ntibazonkiza abebeshwa mabomu hiyo. Geita Gold ni wenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa kuanzia saa 10 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Nyota watatu walioaminiwa leo ambao hawakuanza katika mchezo...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Unalijua jina lingine la Augustine Okrah? AUGUSTINE Okrah. Okrah Magic. Okrah fundi. Okrah spidi. Hivi ndivyo wachezaji wakubwa wanavyoishi kwenye soka la Tanzania. Hata kama una siku mbili, unaweza kuwa na majina ya kukutukuza hata 10.
MASTORI YA OSCAR OSCAR: Unamjua anayefungwa leo kwa Mkapa? UKITAZAMA usajili wa Stephane Aziz KI, Bernard Morrison na uwepo wa Fiston Mayele, bila shaka yeyote hakuna ambaye aliamini kama Yanga inaweza kutolewa kabla ya hatua ya makundi kwenye Ligi ya...
Geita Gold yafanya kweli Nyankumbu, Namungo mambo bado . Dakika 90 za mchezo huo ambao umechezeshwa na mwamuzi Abel William kutoka Arusha umemalizika kwa Geita Gold kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 na kufikisha pointi 10 na kukwea hadi nafasi ya tisa...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tunahitaji kweli wachezaji 12 wa kigeni nchini? FUNDI wa mashairi na mwanamuzi wa Bongo Fleva, Mrisho Mpoto aliwahi kusema kuanza upya sio ujinga kwenye moja ya mashairi yake. Msingi wa kuwa na kanuni inayoruhusu wachezaji 12 wa kigeni kwa...
MASTORY YA OSCAR: Hivi ni kweli tunaheshimu mpira wa miguu? NIMESHTUKA sana wiki hii kumsikia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa, akitoa maagizo Yanga ikashinde leo Sudan! Nimeshituka sana. Soka ni mchezo usiondeshwa kwa maagizo.
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Yanga wana matatizo gani Afrika? HAKUNA ubishi Yanga ndiyo timu bora nchini kwa sasa. Hakuna ubishi. Tayari wamecheza mechi 42 za Ligi Kuu bila kupoteza. Sio jambo dogo. Tayari wanamiliki taji la ligi na lile la FA. Sio jambo...
Kwanini kamati za TFF zisivunjwe zote? KUNA muda unaweza usione tofauti kati ya Kamati za TFF na zile Kamati za Harusi. Ndiyo unaweza usione tofauti wala usishangae. Kamati za harusi mara nyingi sana humsikiliza bwana harusi. Kamati...