Geita Gold yapata ushindi baada ya siku 100, yazishusha timu nne Mwanza. BAADA ya ukame wa takribani siku 100 sawa na miezi mitatu, Geita Gold imevuna ushindi wake wa pili kwenye Ligi Kuu Bara, ikifufua matumaini ya kufanya vizuri na kuondoa presha kwa...
PRIME Ken Gold yakiri kuzidiwa ujanja BAADA ya kutibuliwa mipango na Pamba Jiji, Kocha Mkuu wa Ken Gold ya Mbeya, Jumanne Charles, amesema wapinzani wao waliwazidi mbinu na ufundi uwanjani huku akitamba kuwa kazi ya kuisaka nafasi ya...
Mgore amtangazia vita Diarra VITA ya kulinda lango Ligi Kuu Bara imetawaliwa na makipa wa kigeni, ambao hadi sasa wamefanya vizuri na kuwabwaga wazawa, lakini Daniel Mgore wa Dodoma Jiji amewapa ushindani na kuendelea...
Simba, Yanga, riadha kunogesha tamasha la Chato Mwanza. MCHEZO kati ya mashabiki wa timu za Simba na Yanga utakuwa miongoni mwa burudani zitakazopamba tamasha la Chato litakalofanyika kwa siku saba kuanzia Novemba 26 hadi Desemba 3, 2023...
Wachezaji Stand United hali tete, uongozi waiangukia Serikali UONGOZI wa klabu ya Stand United ya Shinyanga umekiri kukabiliwa na ukata na kujiweka njia panda juu ya mustakabali wake kwenye Ligi ya Championship baada ya mdhamini wao, kampuni ya Jambo...
Ken Gold yarejea kileleni, Segeja, Edgar wachuana mabao Mwanza. TIMU ya Ken Gold imefanikiwa kuongoza msimamo wa Ligi ya Championship baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 mbele ya Copco FC ya Mwanza, huku nyota wake, William Edgar akiendelea...
Kipa Pamba aliyelelewa Yanga SC NI mmoja wa makipa wanaofanya vizuri kwa sasa katika Ligi ya Championship kutokana na uzoefu mkubwa aliouchota kwenye Ligi Kuu akiwa na umri mdogo. Rahim Sheikh ambapo amedaka mechi zote tisa za...
Ubingwa waipa mzuka Alliance, yapokelewa kishujaa Mwanza Mwanza. TIMU ya Wasichana ya kituo cha Alliance chini ya umri wa miaka 15 (U-15) imepokelewa leo jijini Mwanza baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya shule za msingi na sekondari ya Afrika...
Tabora United yaziwinda pointi za Simba MACHO, hesabu na mipango yote ya Tabora United kwa sasa ni dhidi ya Simba katika mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara huku lengo kubwa likiwa ni kuhakikisha wanaondoka na pointi tatu mbele ya...
Geita Gold mambo magumu Ligi Kuu, yatibuliwa Nyankumbu Mwanza. MAMBO yameendelea kuwa magumu kwa Geita Gold na kumuweka kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Suleman ‘Morocco’ kwenye wakati mgumu baada yah ii leo kukosa tena ushindi katika uwanja wake wa...