Jaruph autamani msimu ujao Morocco MSHAMBULIAJI wa Ain Diab ya Morocco, Jaruph Juma amesema msimu uliopita haukuwa bora kwa upande wake akitaja uchovu na kutofanya mazoezi vilimkwamisha kuanza vizuri.
Msemaji Mlandizi ala shavu Zambia ALIYEWAHI kuwa Ofisa Habari wa Mlandizi Queens, Sajda Sadick amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Trident Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Zambia.
Kazi aliyonayo Aisha Mnunka Simba Queens KAMA tulivyoripoti tangu kuanza kwa sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka hadi lilipoisha baada ya pande zote mbili kukaa chini na kumalizana, lakini kuna jambo ambalo kila mtu...
Simba yapasua mtu 11-0, Mnunka arejea na mbili Mnunka ambaye msimu uliopita aliibuka kinara wa ufungaji alipotupia mabao 21, alikuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi mitano, alipoondoka klabuni kiutata huku ripoti zikidai kuna klabu...
Maua Sama, AliKiba kunani? UKARIBU wa Maua Sama na Alikiba haujawahi kufafanuliwa hadharani, lakini wote ni wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya Bongo Fleva.
Clara Luvanga anang’ara tu Saudia NYOTA wa kimataifa wa soka la wanawake, Clara Luvanga amezidi kutakata baada ya wikiendi iliyopita kutupia mabao mawili yaliyoisaidia timu ya Al Nassr kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al...
Get Program yamrejesha Miraji WPL Get Program inayoshiriki Ligi ya Wanawake (WPL) imempa mkataba wa mwaka mmoja aliyewahi kuwa kocha wa Ceasiaa Queens, Miraji Fundi.
Vibali vyamtibulia straika mpya Yanga Princess YANGA Princess dirisha hili dogo limesajili washambuliaji wawili wa kimataifa, hata hivyo, wanakabiliwa na changamoto ya vibali (ITC).
Hasnath Ubamba atamani rekodi Misri BAADA ya kufika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake msimu huu, winga wa FC Masar ya Misri, Hasnath Ubamba amesema anatamani kuweka rekodi nyingine ligi kuu.
Mynaco atamani kuifunga Ahly KIUNGO wa Zed FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Maimuna Hamis 'Mynaco' alisema ni mara ya kwanza kucheza na Al Ahly na anatamani timu yake ipate ushindi.