MKWANJA: Masupastaa 10 wenye thamani kubwa zaidi sokoni kwa sasa MASUPASTAA wa soka wenye thamani kubwa zaidi duniani wamewekwa hadharani, huku Ligi Kuu England ikiingiza mastaa wawili tu kwenye orodha hiyo.
Mbeumo achaguliwa timu Man United, Spurs STAA Bryan Mbeumo ametakiwa achague kwenda Tottenham Hotspur badala ya Manchester United baada ya vita ya miamba hiyo kuwania saini yake kuzidi kupamba moto.
De Bruyne, Napoli kitu kimeeleweka KIUNGO Kevin De Bruyne anajiandaa kujiunga na Napoli kwa dili la mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia makubaliano na mabingwa hao wa Italia.
Kwa Arsenal hii, kazi ipo 2025/26 MISIMU mitatu mfululizo kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu England, hilo limewachosha Arsenal.
Manchester United yapanga mikakati kwa Osimhen MANCHESTER United inafanya majadiliano ya ndani kuhusu ofa ambayo inaweza kuiandaa kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, mwenye umri wa miaka 26.
Donnarumma ashtua mabosi Old Trafford MANCHESTER United imepata mzuka baada ya kusikia kwamba kipa wa Paris Saint-Germain, Gianluigi Donnarumma anaweza kupatikana kwa bei ya kutupa.
Winga Cherki katua tunduni Man City MANCHESTER City imethibitisha kumsajili kiungo wa Olympique Lyon, Rayan Cherki kwa ada ya Pauni 31 milioni.
Chelsea yaacha vifaa Kombe la Dunia CHELSEA imepiga chini mastaa wenye thamani ya Pauni 150 milioni katika kikosi chake kitakachokwenda kuchuana kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika Marekani mwezi huu.
Saka afichua wasiwasi wake wakati akijiuguza STAA wa Arsenal, Bukayo Saka amefunguka athari alizokabiliana nazo kimwili na kiakili wakati alipokumbwa na majeraha makubwa yaliyoweka kwenye mashaka makubwa maisha yake ya soka.
Manchester United yatema kibao MANCHESTER United imethibitisha itawatema mastaa wake Christian Eriksen, Jonny Evans na Victor Lindelof kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya mikataba yao kumalizika.