Taifa Stars yamng’oa Morocco Geita Gold KLABU ya Geita Gold leo Desemba 20 imetangaza kuachana na kocha wake mkuu, Hemed Suleman ‘Morocco’ huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni kubanwa na majukumu ya timu ya taifa ‘Taifa Stars’. Taifa...
Simba Queens, JKT Queens zaanza kibabe WPL Mwanza. Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imeanza rasmi leo huku mabingwa watetezi, JKT Queens na washindani wao wa karibu, Simba Queens wakianza kwa kugawa dozi nzito. Timu hizo msimu uliopita...
Mhilu: Tunaanza na Azam KESHO Kagera Sugar ina kibarua cha kuizuia Azam FC iliyo kwenye fomu katika Ligi Kuu Bara, lakini beki wa pembeni wa timu hiyo, Dickson Mhilu amesema matajiri hao waje tu itafahamika hukohuko...
Alliance Girls, Geita Gold Queens hapatoshi kesho Nyamagana Mwanza. PAZIA la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) msimu wa mwaka 2023/2024 linafunguliwa kesho katika viwanja vitano tofauti nchini, huku Uwanja wa Nyamagana jijini hapa vita ikiwa ni...
Fountain Gate yatwaa ubingwa soka la vijana U17 Mwanza. Timu ya kituo cha Fountain Gate cha Dodoma imetwaa ubingwa wa mashindano ya soka la vijana chini ya umri wa miaka 17 kwa wavulana ambayo yamehitimishwa leo jijini Mwanza. Mashindano hayo...
Chanongo ashtukia kitu Pamba Jiji NYOTA wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo amewaonya mastaa wenzake wa kikosi hicho kutobweteka na ushindi walioupata katika michezo miwili mfululizo ya ugenini. Chanongo alisema kikosi chao kimefanya...
Pawasa aonya vijeba mashindano ya vijana U-17 NYOTA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Boniface Pawasa amewataka viongozi na makocha wa timu 14 zinazoshiriki mashindano ya Vijana U-17 kuzingatia umri sahihi na kuacha udanganyifu ili...
Valentino Mashaka mkali wa mabao Geita aliyepikwa Kilombero, Azam MWISHONI mwa msimu wa Ligi Kuu Bara, Geita Gold iliwapoteza wakali wa mabao, klabu hiyo msimu huu ilifanya maboresho ya kikosi chao na miongoni mwa majembe mapya kwenye safu ya ushambuliaji ni...
Bunda Queens yalamba dili WPL, yatambulisha jezi mpya WAKATI joto la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) likizidi kupanda huku kila timu ikiwa kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kufungua pazia Desemba 20, Klabu ya Bunda Queens imepata...
PRIME Geita, Namungo kazi ipo Nyankumbu GEITA Gold imenogewa baada ya katikati ya wiki kupata ushindi wa bao 1-0 nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, wametamba na leo wanataka tena wakati wakatapoikaribisha Namungo kwenye mfululizo wa mechi...