MZEE WA UPUPU: Tuishi na kauli ya Tony Kroos - tuzo zimejaa upendeleo
MAPEMA mwaka 2021, kiungo wa kimataifa wa Ujerumani na klabu ya Real Madrid ya Hispania, Tony Kroos, alitoa maoni yaliyoshtua wengi kuhusu tuzo za wanasoka bora, kuanzia kwenye mechi moja hadi...