Waigizaji Mastaa hawa wa soka wameamua kugeukia filamu na akaonyesha uwezo mkubwa wa kupambana. Ndani ya muvi hii pia yumo mshini wa tuzo ya Oscar Marion Cotillard. David Beckham Huyu pia alipata shavu kupitia muandaaji wa filamu Muingereza...
Kagoma awataja Chama, Mayele kusoma na kucheza.” Chama, Mayele nani anatoka Kiungo huyo anataja kikosi chake bora ambacho amekiri kuwa kikitokea kikawa pamoja na kushiriki Ligi Kuu Bara hakuna timu inaweza kuwafunga akianza...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Una uhakika Robertinho ni Mbrazili CLATOUS Chota Chama ndiye mchezaji mbunifu zaidi pale Simba. Pengine ndiye mchezaji fundi zaidi kwenye eneo analocheza kuliko mchezaji mwingine yeyote kwenye ligi yetu ingawa hili linaruhusu...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Yanga wamemchunguza kweli Musonda? KWENYE soka la kisasa ambalo linahitaji vitu kumfuatilia mchezaji sio jambo dogo. Kumsajili mchezaji ni mchakato mrefu sana. Ni kama ndoa za zamani. Wazee wetu walikuwa hawaoi tu kwa sababu...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Yanga ilikuwa sawa kwa Mukoko Tonombe? KAMA kuna kosa kubwa ambalo Yanga wamefanya katika miaka miwili ya hivi karibuni kwenye usajili basi ni kuwaacha Mukoko Tonombe na Said Ntibazonkiza. Mukoko aliondoka Yanga akiwa mchezaji bora...
Haji Mwinyi: Yanga haijapata beki kama mimi aisee (Haji) alikuwa mchezaji mzuri mwenye kipaji, alidumu ndani ya Yanga kwa misimu miwili kutokana na ubora aliokuwa anauonyesha. “Najivunia kucheza naye kwenye kikosi kimoja. Kipindi nipo Yanga...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Una tatizo na uzee wa Ntibazonkiza? SAIDO Ntibazonkiza inasemekana amezaliwa Mei Mosi 1987. Ukifanya hesabu utagundua kuwa ana umri wa miaka 35, lakini nani anajali kama bado anaweza kufunga hat trick? Hakuna. Ukiondoa Clatous...
MASTORI YA OSCAR: Kuna haja ya kocha mpya Simba? SINA tatizo na Kocha Roberto Oliveira kutua Msimbazi. Sina tatizo kabisa, lakini ni kweli Simba wanahitaji kocha mpya? Jibu langu ni hapana. Juma Mgunda ni kocha mzuri sana. Juma Mgunda alipaswa...
Pluijm apangua wanne akiivaa Geita Gold, Ajibu yupo , Jofrey Manyasi, Juma Luizio, Dany Lyanga na Alphonce Mbindo. Kikosi cha akiba ni Arakaza McAthur, George Wawa, Jonathan Mwaibindi, Oscar Masai, Shinobu Sakai, Ramadhan Chombo, Offen...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tuzike mjadala wa 'Goat' kwa Lionel Messi? HUWA nabishana sana na kijana wangu mmoja unapokuja mjadala kuhusu mchezaji bora wa muda wote. Yeye akiwa askari mtiifu kutoka kambi ya Lionel Messi, mimi nimekuwa upande wa Ronaldinho Gaucho kwa...