Simba: Lazima tuifunge Azam CCM Kirumba, hatukuwakimbia
Nahodha Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein amesema ushindi katika mchezo dhidi ya Azam ni muhimu kwa kikosi chao ili kipunguze pengo la pointi dhidi ya watani wao, Yanga na kuendelea kupambania...