Ulinzi umegeuka nguzo muhimu Simba, Yanga Uimara wa safu za ulinzi ulioonyeshwa na Simba na Yanga katika mechi za mwanzo za msimu unaashiria ushindani mkubwa ambao utakuwepo baina ya timu hizo mbili katika mashindano mbalimbali ambayo...
Sunday Spesho ya Ligi Kuu Bara 2024/25 HII ni siku spesho. Ndio, ni Sunday Spesho kwelikweli. Kwani kama wewe ni shabiki wa soka, basi leo hupaswi kuchezea rimoti kabisa. Yaani ukikaa mbele ya runinga leo hubanduki kitini hadi kesho...
Simba miaka 7 bila namba 9 WAKATI Ronaldo De Lima 'R9' alipojiunga Inter Milan mwaka 1997 katika uhamisho ulioweka rekodi kipindi hicho akitokea FC Barcelona ya Hispania, alisisitiza apewe jezi namba 9 kwa mmiliki wa awali...
AKILI ZA KIJIWENI: Bao la Ulomi litamkomaza zaidi Yona Amos NILIKUWA natazama mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Pamba na Mashujaa FC iliyomalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba wiki iliyopita.
AKILI ZA KIJIWENI: Mastraika wazawa moto uwe huo huo NAFURAHISHWA na kazi ya kufumania nyavu ambayo inafanywa na washambuliaji wazawa wanaozichezea timu mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara.
AKILI ZA KIJIWENI: Baleke pale Yanga akaze sana JANA nilimsikia kocha wa Yanga, Miguel Gamondi akizungumza kitu juu ya straika wake anayesotea benchi, Jean Baleke ambaye Yanga ilimsajili katika dirisha kubwa la usajili lililofungwa mwezi...
PRIME Yanga Waarabu, Simba washindwe wenyewe BAADA ya kufuzu kibabe hatua ya makundi ya mashindano ya klabu Afrika, Yanga na Simba kuna uwezekano mkubwa zikakutana na wapinzani wenye uzito tofauti baada ya droo ambayo itapangwa mapema mwezi...
Beki Al Ahli Tripoli amuomba radhi Deborah Simba Beki wa Al Ahly Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya mtoano.
Yanga na vigogo Afrika njia moja YANGA imetinga kwa kishindo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya juzi usiku kuendelea kupeperusha vyema Bendera ya Tanzania katika michuano hiyo kwa kuifumua CBE SA ya Ethiopia...
Fadlu ala kiapo Kwa Mkapa, Walibya kazi wanayo SIMBA inatupata karata muhimu leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya ikihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika...