BOLI HALIMO: Makocha wa soka ambao hawakutisha kabisa walipokuwa wachezaji
MAISHA yana siri kubwa sana. Wakati ukimtarajia mchezaji aliyekuwa na kiwango bora kabisa uwanjani kama Ricardo Kaka, Ronaldinho, Ronaldo de Lima, David Beckham, Thierry Henry kwenda kuwa makocha...