UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Jean Baleke ni Haaland mtupu
KAMA Ufaransa wana Kyllian Mbappe, Hispania wana Karim Benzema na England wana Earling Halaand, basi Tanzania tumebahatika sana. Sisi tuna Fiston Mayele na Jean Baleke. Tuna wanaume wawili wenye...