Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

753 results for Nevumba Abubakar :

  1. Anayewania tuzo za dunia apata dili Ufaransa

    MTANZANIA Jaruph Juma anayewania tuzo za mchezaji bora wa Dunia kwa upande wa soka la ufukweni amesema mchezo huo umemfunguliwa fursa nyingi ikiwemo kupata timu Ufaransa.

    Jaruph Pict
  2. Mtanzania aanza kuzoea mazingira Misri

    MSHAMBULIAJI wa Makadi FC, Oscar Evalisto amesema ameanza kuyazoea mazingira ya soka la Misri na licha ya timu hiyo kushiriki daraja la pili, anakiri ni ligi ngumu na ngeni kwa upande wake.

    Oscar Pict
  3. Mechi tano za Chippa United bila Majogoro

    WAKATI Chippa United ya Afrika Kusini anayeichezea Mtanzania, Baraka Majogoro ikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi baada ya michezo 15, nyota huyo amekosekana katika michezo mitano ya mwisho.

    Majogoro Pict
  4. Opah kuanza na Chama la Enekia

    MSHAMBULIAJI wa FC Juarez ya Mexico, Opah Clement anatarajia kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Chama la Mtanzania mwenzake, Enekia Lunyamila, Mazaltan.

    Opa Pict
  5. WPL ikirejea kuna mambo matatu

    WIKI ijayo Ligi Kuu ya Wanawake inarejea baada ya mapumziko ya siku 28 kupisha timu za taifa kwenye mashindano ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) yatakayofanyika mwaka huu...

    WPL Pict
  6. PRIME Yanga yamrudisha beki kutoka Uganda

    KIKOSI cha Yanga kesho jioni kitashuka Uwanja wa KMC Complex katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, lakini kabla ya kipute hcihoo kupigwa inaelezwa benchio la ufundi la timu hiyo lipo...

    Beki Pict
  7. Wazir Jr amfuata Msuva Iraq

    MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina'a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Irak akimfuata Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Al Talaba.

  8. PRIME Novatus Miroshi anapita mule mule kwa Samatta

    NI ndoto ya vijana wengi wa Kitanzania kufika levo ya Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ya kucheza Ligi kubwa barani Ulaya kutokana na rekodi aliyoweka.

  9. Opah alivyotua kusaka namba Mexico

    MSHAMBULIAJI Opah Clement wiki hii ametambulishwa FC Juarez ya Mexico inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini humo na kumfanya aongeze idadi ya nyota wa Tanzania wanaocheza ligi hiyo baada ya...

    Opah Pict
  10. Gets Program kurudi upya WPL

    KOCHA wa Get Program iliyopanda daraja msimu huu, Aristides Ngowi licha ya kuwa na wachezaji wengi vijana ambao hawana uzoefu na ligi, lakini wanapambana jambo linalowapa motisha ya kujipanga...

    Gets Pict
Previous

Page 21 of 76

Next