Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1182 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Makocha wageni kimewakuta Ligi Kuu

    KIJIWE kimeanza taratibu kuwakataa makocha wa kigeni wanaofundisha timu zetu za Ligi Kuu msimu huu.

    Makocha Pict
  2. AKILI ZA KIJIWENI: Asante Simon Msuva, Taifa halikudai

    TUMEKUBALIANA kwa pamoja taifa la Tanzania halimdai chochote kwa sasa mshambuliaji wetu nyota, Saimon Msuva kutokana na kile anachokifanya kwenye timu ya taifa ‘Taifa Stars’.

    Msuva Pict
  3. AKILI ZA KIJIWENI: Kijiwe kinamuaga Mzee King Kikii

    MSIBA wa mzee Kikumbi Mwanza Mpango umetuachia majonzi hapa kijiweni na kiukweli tumeguswa sana.

    King Kikii Pict
  4. Kali Ongala: Mzaliwa wa England anayebeba matumaini KMC

    KMC hivi karibuni ilipata pigo la ghafla baada ya kocha wake Abdihamid Moalin kuwasilisha rasmi ombi la kuvunja mkataba wa kuitumikia timu hiyo akihitimisha mwaka mmoja na ushee alioitumikia timu...

    Kali Pict
  5. Sikazwe awatabiria neema marefa Tanzania

    Mkufunzi wa kimataifa wa marefa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa), Janny Sikazwe amesema anaamini marefa wa Tanzania watapata fursa ya kuchezesha fainali za mataifa ya Afrika (Afcon)...

    Waamuzi Pict
  6. Mastaa Ligi Kuu Bara watamba nchi zao zikifuzu Afcon

    Ligi Kuu Tanzania Bara imeheshimishwa na nyota wa kigeni wanaochezea timu tofauti za taifa, baada ya vikosi vyao vingi kufanikiwa kutinga fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika...

  7. PRIME Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

    Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu...

  8. Baada ya Yanga, TFF yamfungia Gamondi

    Wakati Yanga ikitangaza kuachana na Miguel Gamondi na msaidizi wake Moussa Ndaw leo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limempa adhabu ya kifungo cha mechi tatu na faini ya Sh 2 milioni...

  9. AKILI ZA KIJIWENI: Ateba anaanza kuwapa kazi ngumu Simba

    TETESI ambazo hapa kijiweni tumezinasa kuhusu Leonel Ateba ni Simba ilitumia kiasi kikubwa cha fedha ili kumsajili akitokea kule Algeria katika timu ya USM Alger.

    Ateba Pict
  10. AKILI ZA KIJIWENI: Mabeki wa kati ndio silaha yetu Tanzania

    KUNA eneo ambalo tumefanikiwa sana kama taifa kuzalisha wachezaji wa kiwango cha juu ambao wamekuwa na manufaa kwa klabu pamoja na timu zetu za taifa.

    Stars Pict
Previous

Page 21 of 119

Next