Robertinho: Yanga kitu gani buana! aitaka hata leo....
KIKOSI cha Simba jana kimeanza mazoezi Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara na ile ya kimataifa, huku kocha mkuu mpya, Roberto Oliveira 'Robertinho' akisema...